Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Igwe wanaJF
Nimeona siku ya leo kabla sijaenda kupumzika niwatobolee siri CHADEMA kuwa wanasiasa wengi mdani ya CCM miaka 10 hadi 20 iliyopita walijijenga kwa upotofu wa kutetea wavunja sheria na upuuzi.Nitawapa mifano;
Mwishoni mwa miaka ya 90 Mbunge wa ilala Iddi Simba alishawishi na kukataa wakazi wa bonde la msimbazi wasihamishiwe Segerea kwa kigezo kuwa ni porini ajenda iliyojificha "hawa ni wapiga wangu hivyo wangehama kura zake zingepungua" baadae akaachia ngazi baada ya kuchokwa.
Kumekuwa na kilio cha muda mrefu kuwa wanaosomea ualimu elimu yao duni mara nyingi wabunge wamelalamikia kuhusu kushuka kiwango cha elimu sasa serikali inaporejebisha suala hilo ninyi mnaona ndio fursa ya kutengeneza "wapiga kura" haya ngoja tusubiri.
Mara nyingi mnaongelea "mfumo" bila mnamamnamaanisha.Mfumo mzurimzurinaununaundwaatu wanaosimamia kanunkanuniio nadhanadhariai zisizotekelezwa,mfumo mzuri hurekebisha kasoro mara moja inapogundulika.
Chadema mlidhihaki mfumo wa JK kwa propaganda kumbe mioyoni mlinufaika kwa kushiriki uhalifu kuliangamiza taifa.
Kila siku mnasema watanzania wameelimika,sasa unafikiri hao walioelimika unafikiri viongozi wa Chadema mnaweza kuongea hizo propaganda wakawaelewa?.Lazima taifa lijisahihishe na kila mmoja wetu asimamie kanuni tujadili masuala na sio watu.Hivi siku ya kujadili bajeti ya serikali,Lugumi..nk mtasusa kisa Naibu Spika Dr.Tulia anaongoza kikao?
Haya ngoja tusubiri manake ripoti ya Twaweza ilisema upinzani unaungwa mkono na wasomi,na hulka ya wasomi ni kupima hoja.Muda ndio jibu zuri.
Nawakilisha.