Matamko kwa sasa ameachiwa Rais wa nchi na Mawaziri wake, plus ma RC & DC, RPC OCD.Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..
Pasco andika chochote
Maandiko Mtakatifu katika bibliayan ume kuja Ku justify ujinga yaan chama kuto kutoa tamko unaona ni trick kwel
Chadema wakitoa tamko ndio ben ataonekana? missing the point.yan ume kuja Ku justify ujinga yaan chama kuto kutoa tamko unaona ni trick kwel
Maandiko Mtakatifu katika biblia
Mithali 21:23
"Anayelinda kinywa chake na ulimi wake anailinda nafsi yake isipate taabu"
MAHUBIRI 9:17
"Maneno ya wenye hekima yanayosemwa kwa utulivu husikiwa, zaidi kuliko kelele za mtu anayetawala kati ya WAJINGA."
Sasa endeleeni ninyi wenye "akili" ku justify welevu wenu.
ulitaka chama kitoe tamko la rambirambi ili mje na mambo yenu.yan ume kuja Ku justify ujinga yaan chama kuto kutoa tamko unaona ni trick kwel
Hivi nyie Lumumba mapenzi ya ghafula kwa Ben yametokea wapi mbona mlikuwa mnamtukana kila siku mitandaoni?Ben yupo wapi hilo ndo la msingi...ngonjera zingne hatuzitaki..chadema walibidi watoe tamko kuwa MTU wao amepotea..kama PA wa Chair wamekaa kimya je wewe mwanachama wa Nzega watakukumbuka hawa watu..! Usitake kujitetea kwa ujinga..km kweli Ben amepotea na mmekuwa kimya tumewadharau..
Pasco andika chochote
Hivi nyie Lumumba mapenzi ya ghafula kwa Ben yametokea wapi mbona mlikuwa mnamtukana kila siku mitandaoni?
Strategy hii mpya imewaacha wazi wanafiki kwa sababu ni ajabu jirani kulia zaidi ya mfiwa.
Mkuu inawezekana wameambiwa watikise kiberiti, possibly wamekuwa kimejaa, ndio maana nikasema Chadema wamekomaa hawatikisiki.Nami nimewashangaa sana mkuu mana threads kbao humu za kujifanya wana mapenzi ya kweli kwa Ben zinaanzishwa na team lumbumba b7..nafikri hawa wanajua Ben aliko wanatafuta kujua je cdm wanajua ukweli?
We raia ni unaakili sana, Laiti kama ungelikuwa umesoma sana basi ungelikuwa "Ole Sendeka"Kwa hvo hata ukilawitiwa nyamaza ili kuilinda nafsi yako, naomba usiisome biblia kinyumenyume hata Yesu alijua anaipoteza nafsi yake kwa kuwaambia iliyo kweli masadukayo na mafarisayo