YAHAYAMOHAMED1970
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 229
- 96
CCM nyie mmetoa wapi?kama sio kwa wafanyqbiashara wasiolopa kodi na kodi zetu ndio maana Tanzania uduma za jamii duni ila hela ya kampeni mnayo.Sasa sisim inashirikiana na hao wafanyabiashara wanakuwa vibaka wa mali asili kweli nyani haoni kun$ ule
kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.
mabilbord ya makomeo yanayo gharimu mabilioni ya shilingi na ambayo yameweka hadi kwenye vyoo vya uswahilini naambiwa yamegharimiwa na Yahaya Mohamed kutokana na msharahara wake wa star tv.kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.
mimi nimejitolea Billion 2 za kampen buree
kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
uongo, uongo, uongo. tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.
Haahaahahaa yaani huyu mleta mada kachanganyikiwa,acha nimwambie,wewe umejitolea hiyo mwenye bila familia yangu nimejitolea 4bilioni kama sadaka katika pato kangu ili kuwezesha mabadiliko.
mabilbord ya makomeo yanayo gharimu mabilioni ya shilingi na ambayo yameweka hadi kwenye vyoo vya uswahilini naambiwa yamegharimiwa na Yahaya Mohamed kutokana na msharahara wake wa star tv.
2010 ulitoa wewe? Au choppa imekudatisha? Mbona 2005 ilikuwepo? Au mabango ndo yamekufanya uwe na gubu? Mbona magufuli anayo? Kamuulize magufuli pesa za kuhonga wasanii kazitoa wapi?
kuna uthibitisho bila shaka kwamba pesa wanazotumia chadema/ukawa kwenye kampeni ni za rostam aziz -kwa mujibu wa dr. Slaa
sasa najiuliza mengine wanayoahidi watayatekeleza vp?
Hauwezi ukatumia pesa ya rostam halafu ukaahidi kuboresha ukusanyaji kodi kwa makampuni ya simu.
Hauwezi ukatumia pesa ya kalamagi kwenye kampeni halafu ukahadaa watz utaboresha makusanyo bandarini.
Wanabwabwaja watafanya yote hayo lowasa kibaka akiwa rais.
Uongo, uongo, uongo. Tumejifunza yaliyotokea kwa kikwete na wafanyabiashara wake. Watz tuamke tuwakatae hawa ukawa.