Chadema ovyo kabisa

Status
Not open for further replies.

Mbona wapo jamaa wa kujitolea tuu wakiwepo kwenye mikutano huwa wanatupa habari vizuri kuliko hata wahusika wenyewe.. mkuu lazima ukubali kuwa chadema ni ovyo kabisa katika hili.. kama unakuuma nenda ccm..
 
sawa mama endelea kumuhudumia mmeo muandalie maji akaoge..mimi naenda kulala na dada yako..gudnyt msukule

we ccm Huna la maana hapa, nenda kalale, kwanza hulitakii mema taifa hili.. Subiri siku za kuhongwa ubwabwa ndoo ukaongee haya..
 
Jamaa ana point. Ni kweli ni vema CDM ikajitangaza zaidi kupitia vyombo vya habari. Aliyesema "Biashara ni matangazo" hakukosea.
 

ha ha ha ha ha ha hapo kwenye msimbazi nimekusoma !!! ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

samahani sana Mkuu heshima kwako!!!!

...usaliti chadema ni mwiko
 
Jamaa ana point. Ni kweli ni vema CDM ikajitangaza zaidi kupitia vyombo vya habari. Aliyesema "Biashara ni matangazo" hakukosea.


...huyu Kamanda nimemsoma mimi kama GT ....hapa kapigwa mtu panga la uso !!!!


CC
www.jamiiforums.com
 
jina unalotumia linaendana na ulichoandika

 

Kwa Taalifa Yako Chadema Ndio Habari Ya Mjini, Yaani Hata Magazeti Yasiyoandika Habari Zake Yamepoteza Mvuto Na Hayana Soko, Pili Hata Hapa Jf Ishu Za Chadema Ndio Zimevuta Wachangiaji Wengi Hata Hoja Yako Ni Mbovu Sema Kwa Sababu Kuna Jina La Chadema Kwenye Thread Ndio Maana Umepata Vikoment, Kama Unabisha Anzisha Uzi Mwingine Na Taja Chama Kingine Kama Utapata Hata Wachangiaji Watano... Nakupa Assignment, Angalia Thread Zote Za Siasa Hapa Jf Utakuta Karibia 60% Zinahusu Chadema Hvyo Madai Yako Hayana Ukweli
 

Kawakama tucheze siasa, haya mambo ya kuchokoza hisia za kidini hazitakibeba chama chochote hapa tanzania ila zitaumiza wengi! Acheni huu uzandiki
 
uZI MUHIMU SANA HUU ILI KUCHUKUA DOLLA 2015

Naomba nikubaliane nawe tabutupu sijaelewa wengine wamepaniki nini, huu ni ushauri mzuri sana japo tayari unatekelezwa lakini spidi inapaswa kuwa kubwa zaidi
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…