jamaa kasema point msimshambulie kwa hoja za ushabik.
kweli huyu div 5 kajitoa ufahamu hivyo inadhibitisha ana div 5 points 31
behind the scene kuhusu opd:
Padre slaa, kina mbowe na vijakazi wengine wasiojitambua kama mganga wa kienyeji peter msigwa na kijana dhaifu mnyika wanataka kupiga pesa za ruzuku kwa kisingizio cha gharama za kurusha chopa tatu hewani. Huu ni wizi wa mchana kweupe na ni wizi wa kuaminiwa. Chadema hakika ni chama cha majambazi,wazinzi na mafisadi