STK ONE JF-Expert Member Joined Dec 31, 2011 Posts 627 Reaction score 184 Jun 5, 2012 #1 Wana JF tulikuwa na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA online, na tulifika wanachama zaidi ya thelathini. Mchakato uliishia wapi? Mwenye kumbukumbu anijuze!!!!
Wana JF tulikuwa na mchakato wa kufungua tawi la CHADEMA online, na tulifika wanachama zaidi ya thelathini. Mchakato uliishia wapi? Mwenye kumbukumbu anijuze!!!!
bakuza JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 492 Reaction score 104 Jun 6, 2012 #2 Ninachojua mimi kuna "MARAFIKI WA CHADEMA MTANDAONI" ila CDM ON LINE sijui.