CHADEMA hakiwezi kukurupuka kama JK alivyokurupuka kumpongeza Kenyatta huku akijua kwamba bado hajaapishwa na vile vile kuna uwezekana matokeo yakatenguliwa na Mahakama.Sasa hivi wanaomba mahakama isitoe ruling in favour of CORD maana itakua embarassement kidiplomasia.
Wanadiplomasia na mataifa mengine wamewapongeza wakenya na kukwepa jina la Uhuru lakini hapa tumekurupuka