hahahaha unaumwa upungufu wa akili nyambafu u
Hata ubunge hawapatiChadema wapiganie ubunge tu urais ni ngumu, kitendo cha kulialia na kisha kupewa kila wanachokililia kwenye tume,lazima kiwalize mwishoni.
Huu uchaguzi ni kufa au kupona kwa chadema, ila dalili za kifo ni mkubwa kuliko kupona.Kweli nimeamini Chadema n lowassa wamekuwa kaa la mawe kwenye makoromeo ya maccm. Watanzania wameshaelewa na wameshafanya maumuzi na kura zao watazipeleka kwa lowassa na sio mpiga push up.
Hata ubunge hawapati
Chadema wapiganie ubunge tu urais ni ngumu, kitendo cha kulialia na kisha kupewa kila wanachokililia kwenye tume,lazima kiwalize mwishoni.
MWAPACHU - Namuunga mkono Lowasa, lakini siwezi kuhama CCM kwenda CDM. CDM hawajitambui ila wamempata mwanaume.
NCHIMBI - Nimesoma hizo habari magazetini.. na nimefuatwa na viongozi wa CDM kunibembeleza nihamie kwao.. hivi uanachama mtu anaombwa au anaomba.
MWANDOSYA - Ni kweli nahama.. lakini nahama kutoka Dar kwenda kijijini kwetu Lufilyo Busekelo.. ni kweli CCM walinikwaza lakini siwezi kujidhalilisha kuhamia CDM chama ambacho siku zote nimehubiri kuwa ni wababaishaji.
SOFIA SIMBA - Nimefuatwa na vigogo wa CDM wakiniomba niungane nao kuleta mabadiliko, nimewajibu mabadiliko ya kweli yataletwa na Magufuli na si Lowasa. tulifanya makosa makubwa kutoka kikaoni, tuliona dalili za mtu kuandaliwa.. tuliomba msamaha na maisha yanaendelea.. lakini ninachofurahi ule mgomo wetu ulisaidia kuwafanya CCM kuchagua mgombea mwenye sifa.
Chadema wapiganie ubunge tu urais ni ngumu, kitendo cha kulialia na kisha kupewa kila wanachokililia kwenye tume,lazima kiwalize mwishoni.
Mkuu hata ubunge hatuwapi, we must teach them a lesson on how to behave and respect our memberships, we built it with ambitions, we suffered, we forsaken our beloved ones just to keep the party alive, nonetheless, others lost their lives for the sake of CDM. If the basics and principles are no longer in place, why is it important to elect them MPs then? For whose sake? under which purposes? ..they must pay the price.
Viva rweye viva
Wafundishe pia ukawa kwamba nchi hii haihitaji viongoz wasanii
Lowasa msanii-mgombea urais ukawa
sugu msanii-mgombea ubunge mbeya
Afande sele-ubunge morogoro mjin
Profesa (feki)jay-ubunge mikumi
Kingwendu-ubunge kisarawe
Dj mbowe (dj wa bilicanas)-mwenyekiti na mgombea ubunge hai moshi
Jamn nchi hii haihitaji wasanii
Nchi hii inahitaji watenda kazi
ndo maana magufuli amekuja na falsafa ya hapa kazi tu
Na sisi yunamuamin na tutamchagua