Chadema nitakupenda, nitakusifu na nitakukosoa daima

Vipi ile DVD ya maandamano na mauaji ya Arusha. ilitolewa na Mh Godbless Lema, mmeishamkabidhi Luis Moreno Ocampo, ICC the Hague
 
swala si kuendelea kugombea Meya, la msingi ni kuendelea kuibana serilikali katika vikao vya bunge na mabaraza ya madiwani na kujipanga kwa uchaguzi wa 2015
 
Vipi ile DVD ya maandamano na mauaji ya Arusha. ilitolewa na Mh Godbless Lema, mmeishamkabidhi Luis Moreno Ocampo, ICC the Hague
Tunaandaa part two hii itakuwa fulu laana.
 
swala si kuendelea kugombea Meya, la msingi ni kuendelea kuibana serilikali katika vikao vya bunge na mabaraza ya madiwani na kujipanga kwa uchaguzi wa 2015
Utaweza kumbana anayekupokonya haki yako? Maandalizi Uchaguzi ya nini wakati wataishia kugawana madaraka kwa njia ya mwafaka.
 

Ni kweli Gharama ya Serikali na ile iliyo kwa upande wa CHADEMA kutumia ruzuku . Hata hivyo kama kweli una uchungu basi ungefahamu kuwa chanzo cha matumizi haya mabaya ni haya malumbano ambayo watu wa Arusha hawataki tena yatokee. Iwapo kweli una uchungu na fedha na damu za wananchi basi hutoshabikia jambo lililosababisha umwagaji wa damu na upotevu wa fedha za wananchi.
Unajuwa Mwanaharakati hii ni thread yako ya pili unayoona kuwa jambo la makubaliano si zuri lakini mwenzetu unaishi dunia ipi ikiwa hata Marekani anaamuwa kuzungumza na Taliban kule Afghanistan mbali ya umwagaji mkubwa wa damu. Hivyo unafikiri nguvu ndio sulihisho la matatizo kwa binaadamu? La hasha , majadiliano ni njia bora zaidi. Lau kama unakusudia kuisema CDM kwa kujifanya mwanachama basi hilo ungelifanya kwa uwazi .
 
Hatukukubali kirahisi ndio maana imebidi kufikiwa kwa muafaka huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…