Kweli mkuu toka kuuwa watu kama wangwe na kumwagia watu tindikali.Kiukweli CHADEMA imepitia ktk tanuru la moto
Wanaccm wenzangu tujitathimini sana,mbinu za kuitokomeza chadema zimekwama.
chadema amekuwa na roho ya paka kamwe haitoki.sasa ni wakati wa kutafuta mazuri ya kuwaambia watanzania na tuachane na mabaya ya chadema.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Dawa ya chadema i chuma cha shaba wala siyo vinginevyo.
Kweli mkuu toka kuuwa watu kama wangwe na kumwagia watu tindikali.