AdvocateFi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2012
- 11,492
- 5,050
mwiba
Chadema wanachojua ni kuratibu maandamo ya vurugu tu; sera hamna porojo nyingi; watataje mafisadi wakati ndani ya Chadema mna mafisadi?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sikia kauli za watu DHAIFUDooh!! umemsahau yule dhaifu wa kiroho? Aliyekimbia wito wa Bwana kwa sababu ya ngono? Hivi mtamuoza lini hamuoni hatari ya kuwa kiongozi mzinifu?
Chama
Gongo la mboto DSM
ww nawe upeo wa kufikiri upo sawa na waandishi wa radio iman.
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
Hatari tumeishaiona tayari! tunaiona na tutaendelea kuiona hadi 2015!.Dooh!! umemsahau yule dhaifu wa kiroho? Aliyekimbia wito wa Bwana kwa sababu ya ngono? Hivi mtamuoza lini hamuoni hatari ya kuwa kiongozi mzinifu?
Chama
Gongo la mboto DSM
Sikia kauli za watu DHAIFU
"... Maoni yenu ni ya kweli kabisa lakini naogopa wenzangu katika CCM, nikiwakubalia ninyi hawatanielewa .." By M/kiti wa *cm.
"..... Unajua ni kama CHADEMA imeishachukua uongozi wa nchi hapo 2015..." By B. M*mb*. Huyu alivyodhaifu zaidi akakana.
Huhitaji kumsubiri mtu kujua UDHAIFU na UPUUZI wa CHAMA na WANACHAMA WAKENi kweli chadema ni chama dhaifu. Mi wameniacha hoi kauli zao zinavyopishana tu. Pinda ambaye ndio katibu wao Alisema ZNZ ni nchi halafu Werema ambaye ndio mwenezi akasema ZNZ sio nchi. Kali zaidi ya juzi hii ya Naibu katibu wao alipoomba msaada EU kuhusu kuchunguzwa kwa sakata la meli za Iran kuwa na flag za TZ. Da kweli CDM dhaifu kaka.
Kifo cha CUF kimesababisha matatizo ya akili kwa wapenzi wake,kila siku ni kukashifu CDM na Wakiristo hasa Wakatoliki utadhani ndiyo walikua washenga wakati wanaolewa na CCM!Hivi thread bila kuiandika CHADEMA haiwezi kusomwa hapa jf. Kweli nimeamini maisha bila CDM hayawezi kuwepo. Hivi mioyo yenu haidundi bila CHADEMA?
Katika vyama vyote vya upinzani basi Chama dhaifu ni CHADEMA,CDM haiwezi na imeshindwa kufuatilia hoja zake yakiwemo yale ya upasuaji baluti pale Bungeni ,inashindwa na kuishia katikati ,yaani hawajafikia mwisho wanatafuta jingine na kuliacha lile la mwanzo ,walikuja na utitiri wa majina ya ufisadi hadi leo hatasijui yameishia wapi ?Mwisho wa siku wanapitisha bajeti kiulaiini ,Naona wamechanganyikiwa.
CCM ni chama imara sana, kama inaweza kuendesha operation ondoa Ulimboka kwakweli lazima tukiri CCM ni chama imara.
N abado mpaka wakufikishe kileleni na bado hiyo ni rasharashakwangu mimi naona cdm ni kama kikundI cha SACCOS,wote wachumia matumbo,nimewachoka sana hawana jipya
kweli kishetani zaidi
mwiba, rejao, ritz, na yule sijui shoga nani tena... Hamuisaidii serikali iliyoko madarakani kwa style za propaganda uchwara... Watu watanzania wataihukumu ccm kutokana na deliverables;
1. Huduma bora za afya mnazitoa?
2. Maji safi na salama inapatikana?
3.elimu bora zinatolewa kwa watoto wetu?
4.mmeweka miundo mbinu bora kwa maendeleo ya taifa?
5. Mmesimamia vipi dhahabu, gas, almasi, uranium, nickel, tanzanite zetu kwa faida ya umma?
6.wakulima, wavuvi na wafugaji wamefaidikaje kutokana na juhudi zao za kujiletea maendeleo?
7.viwanda vyetu viko wapi?
8.wafanyakazi mishahara yao zinakidhi mahitaji yao
9.maliasili na vivutio vya utalii vimeinufaisha vipi nchi? Kwa kiasi gani? Kwanini?
10. Kwanini mnauza ardhi yetu?
11. Kwanini mnalindana ktk ufisadi wa wazi???....
12. Mmewasaidia vipi wakulima wa pamba, kahawa, korosho nk wasiendelee kunyonywa?
Hivi ndiyo vitu vinanvyopaswa kutolewa majibu na ccm ... Otherwise watanzania hawatawaelewa ifikapo 2015 kwani shule za kata zinasaidia kueneza elimu ya uraia kwa kasi hadi kule kunako nyumba za tembe....
ahahaa!! kweli Chadema ni mtambo wa kuzalisha mapimbi yaani wapo wengi sana hata kwenye ukweli mnataka kubishana?
Chama
Gongo la mboto DSM