Drama la tamko fake inaendelea.
Aliye tajwa kwenye tamko awakana
Wana jamvi na wanahabari mimi halid rashid ufafanuzi wa tamko lilotolewa na ndugu balozi akijitambulisha kuwa wajumbe wa mkutano mkuu na baraza kuu chadema taifa; ndugu wana jamvi,wanahabari na wananchi wote napenda ifahamike kuwa tamko hilo mimi silitambui,sikushiriki na siliungi mkono na sikuwepo kama mlivyo tangaziwa leo;pili jina langu naitwa halidi rashidi na sio halid halfan,tatu mimi sio katibu wa(w) nimesimamishwa tangu january nafasi hiyo,nne naungana na ukawa kwa 100%na pia mikutano ya ukawa tanga,muheza na mkata mimi nilikua mc,tano nawakubali viongozi wote mh mbowe,dr slaa nk katika kuendesha chama,tahadhari mamruki wasitumie jina langu kujinufaisha kwa magamba na vibaraka wake;mimi ni mwanachadema mwaminifu naendelea kujenga chama hapa tanga mjini;ahsante wote