Nawapa ushauri wa bure viongozi wote wa Chadema ikiwa mnatishiwa kuuwa basi ushauri wa bure ni kuvunja hicho chama.
Haiwezekani siku hizi kila kiongozi wa CDM anatishiwa kuuwawa mnatishiwa na hamuogopi kuacha kazi, basi jamaa hao wataanza kufanya kweli.
.

Kama hamuogopi basi tangazeni tu kama walivyotangaza Uamsho kuwa akiuliwa kiongozi wao mmoja basi upande waliouwa nao wamtayarishie mwenzao kaburi ,Wakiwa na maana ya TIT FOR TAT ,hakuna kutishana tena.
JE CDM bado mnaogopwa kutishwa ,kama jawabu ni ndio basi hamfai na vunjeni chama ,kama jawabu ni hapana basi jibuni mapigo hadharani.
Nina wasiwasi tayari mmeshaonyesha kuwa ni waoga na ndio maana ,mna kamatwa kamatwa kama ndezi na kuswekwa rumande.Mwezi uu tumeshuhudia mkikurupushwa kama ngedere ,kila siku kizimbani ,mambo haya mtayakomesha lini.
Mkuu Mwiba, mbona hujawapa ushauri genuine kama mlivyofanya huko Zenj, baada ya kuona mnasumbuliwa si mlitafuta bwana na mkaolewa sasa mmetulia!. Nilifikiri utawashauri nao kama wanaone wanaonewa nao watafute bwana, waolewe na kutulizwa kama mlivyotulia!.Nawapa ushauri wa bure viongozi wote wa Chadema ikiwa mnatishiwa kuuwa basi ushauri wa bure ni kuvunja hicho chama.
Haiwezekani siku hizi kila kiongozi wa CDM anatishiwa kuuwawa mnatishiwa na hamuogopi kuacha kazi, basi jamaa hao wataanza kufanya kweli.
Kama hamuogopi basi tangazeni tu kama walivyotangaza Uamsho kuwa akiuliwa kiongozi wao mmoja basi upande waliouwa nao wamtayarishie mwenzao kaburi ,Wakiwa na maana ya TIT FOR TAT ,hakuna kutishana tena.
JE CDM bado mnaogopwa kutishwa ,kama jawabu ni ndio basi hamfai na vunjeni chama ,kama jawabu ni hapana basi jibuni mapigo hadharani.
Nina wasiwasi tayari mmeshaonyesha kuwa ni waoga na ndio maana ,mna kamatwa kamatwa kama ndezi na kuswekwa rumande.Mwezi uu tumeshuhudia mkikurupushwa kama ngedere ,kila siku kizimbani ,mambo haya mtayakomesha lini.
Mwiba, viongozi wa CHADEMA hawatishiwi kuuwawa tu, wanauwawa as a matter of fact. Arumeru?
Hivi kosa la wazanzibari ni lipi hasa? kweli ukitaka kugombana na mtu dai chako!Mkuu Mwiba, mbona hujawapa ushauri genuine kama mlivyofanya huko Zenj, baada ya kuona mnasumbuliwa si mlitafuta bwana na mkaolewa sasa mmetulia!. Nilifikiri utawashauri nao kama wanaone wanaonewa nao watafute bwana, waolewe na kutulizwa kama mlivyotulia!.
Kwa maoni yangu, Chadema ni kidume, sio kama kile chama chenu huko, wenzenu hawatafuti bwana kuolewa kama mlivyofanya nyinyi, na sasa hivi nimesikia fununu mmepata na bwana mwengine wa Kiarabu, anataka kuwawowa jumla nyie na mume wenu wa huko, hiyo ndio mnawatumia hao vitimbakwiri wa uamsho ili kudai talaka ili mwarabu aoe jumla!.
Hivi kosa la wazanzibari ni lipi hasa? kweli ukitaka kugombana na mtu dai chako!
Nakubali kuwa wanauawa ,ila watu wanasema kuvunjika kwa nyundo sio mwisho wa kung'oa misumari ,la muhimu baada ya kuuwawa mwenzenu mnafanya kitu gani ? Ikiwa hamna mnalilifanya na kuona lishapita ,basi ndani ya chama chenu mna tatizo kubwa sana.
Wenye kufaidika ni mapapa lakini hawa fulu na sangara na duvi wakilambwa mapanga hakuna wa kuwatetea ,au unasemaje ?
Naona umetoa jibu mwenyewe hapo kwenye red. Labda niongezee, kwenye vita si wote wanarudi hai, na akifa komrade mmoja vita haisimami. Au una swali jingine tofauti?
UAMSHO aka CUF ni chama cha kigaidi kikiwekeza zaidi nguvu misikitini.