CHADEMA ni wauaji.
Jana nilikuwa nyumbani Old Moshi, Kilimanjaro kwenye mazishi. Wananchi wa pale kijijini kwangu wanalaumu sana mauaji yanayoendelea kufanywa na CHADEMA.
Acha uzushi nikikuwepo kwenye huo msiba usipotoshe watu hapa kusaka umaarufu.... Mumeo anakusubiri kitandani kalale
Imenenwa usishindane na mpumbavu usije fananae
Wote wako lupango
CHADEMA ni wauaji.
Jana nilikuwa nyumbani Old Moshi, Kilimanjaro kwenye mazishi. Wananchi wa pale kijijini kwangu wanalaumu sana mauaji yanayoendelea kufanywa na CHADEMA.
wewe unaishi sayari ya mars au sayari ya dunia?
Kweli nmeamini tajiri basi lake likipata ajali hawezi kuulizia kama watu wamepona na matokeo yake anauliza basi lake limepona au la... Magamba hayathamini wana Arusha kabisa... Mna laana ninyi!!Toka ajili ya bomu itokee ni takribani siku Tatu sijaona mbuge yeyote wa CHADEMA; Sijui ndo kususia shughuli za bunge au ni passive resistance;
Ushauri wangu wananchi hasa wa BIHARAMULO Tunateseka sana kutokana na mikutano ya CHADEMA inayopelekea vurugu na kiongozi wetu mbunge muda mwingi yupo kwenye mikutano na kusuasua katika vipindi vingi vya bunge ukizingatia na utoro wa wabunge.
Tujue moja ; Je wabunge hawataudhulia vikao au watakuwa wanahudhulia baada ya bajeti kuwa imepitishwa .
TANZANIA IS MORE THA POLITICAL AMBITION
Tunaomba uwepo wako uende nasi
Ewe Bwana wa majeshi tusikie
Kama huendi nasi,
Hatutaki kutoka hapa
Hatuwezi peke yetu, enda nasi
Tu watu wa shingo ngumu tusamehe
Hatufai mbele zako turehemu
Tusafishe ee Baba,
Tuonyeshe uso wako
Twahitaji neema yako enda nasi
Tutavua mapambo yetu,
Vitu vyote vya thamani kwetu
Mioyo yetu twaleta mbele zako
Tutakase na utembee nasi.
Tunaomba utuonyeshe njia zako,
Kwa maana umetuita kwa jina lako,
Twalilia eeh Bwana,
Utukufu na uso wako
Bila wewe tutashindwa enda nasi.