Chadema 2030 JF-Expert Member Joined May 5, 2025 Posts 1,915 Reaction score 3,748 Jun 29, 2026 #1 Tukiweza kupata supporters wa kutosha tunaweza kuitoa CCM mamlakani ifikapo 2030. chama hicho ni cha mafisadi na hakifai kabis wanawakombozi waliuwawa wengi mwaka jana. saiv ni mchakato wa ukombozi enyi Gen z tuiunge chadema mkono.
Tukiweza kupata supporters wa kutosha tunaweza kuitoa CCM mamlakani ifikapo 2030. chama hicho ni cha mafisadi na hakifai kabis wanawakombozi waliuwawa wengi mwaka jana. saiv ni mchakato wa ukombozi enyi Gen z tuiunge chadema mkono.
OTHMAN BEY Member Joined Jun 20, 2026 Posts 74 Reaction score 123 Jun 29, 2026 #2 Seleina Tikili umebadilika mada zako?