Goodrich
JF-Expert Member
- Jan 29, 2012
- 2,091
- 1,179
Naikubali sana CDM.
Ni Chama kilichoweza kuwagharimu sana mafisadi, majangili, wauza unga, na vibaraka wanauza nchi kwa wakoloni wa leo wanaojiita wawekezaji.
Kila wakilala wanawaza Chadema utadhani ndio chama pekee cha upinzani.
Lakini kubwa zaidi kupitia jitihada za Chadema kuwakomboa Watanzania, tumeweza angalau kujua kuwa kumbe nchi yetu ina utajiri unaoporwa na mabepari na vibaraka wao.
CHADEMA Naiaminia !