Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
- Thread starter
-
- #21
Bwana mselewa njaaa mbaya...hebu jione...jitathmini ..jirekebishe
Kwakuwa umezoea kununuliwa,unafikiri wote tuko hivyo. Tafuta details zangu kabla ya kuropoka
Wewe hununuliwi haya uchukue fomu kibaha ndio utajua kwanini mjokava aliuza yale machuma ruvu. Wasema sikufahamu.
Watu wa lumumba mnanuka mavi,katawaze kwanzaMajimbo yote ya chadema yatachukuliwa na chama makini cha ACT..
ACT OYEEEEEEEE
Chadema uchaguzi mwakani hawatapata mbunge hata mmoja, wabunge wote wa chadema hakuna kitu wamefanya kwenye majimbo yao zaidi ya vurugu na maandamano..
ACT chama cha mchezo gani tena............?:A S-eek::A S-eek:Majimbo yote ya chadema yatachukuliwa na chama makini cha ACT..
ACT OYEEEEEEEE
Sasa unatusemea au umejisemea?Hakuna mtu mwenye akili timamu ataweza kuchagua mbunge wa chadema labda awe na akili kama ya bavicha au bawacha.
Umeanzisha mjadala mzuri lakini umeshapokwa na mijitu ya Lumumba akina Msalani, laki si pesa, inakuwa vigumu kwa watu makini kuchangia. Lakini asante kwa kutupa angalizo hili.
Hakuna mtu mwenye akili timamu ataweza kuchagua mbunge wa chadema labda awe na akili kama ya bavicha au bawacha.
Majimbo yote ya chadema yatachukuliwa na chama makini cha ACT..
ACT OYEEEEEEEE
ACT chama cha mchezo gani tena............?:A S-eek::A S-eek:
Kumbe mtunzi wa kichwa cha habari ni Mwajey ndala Ndefu....................?Ndio maana akili zimekaakaa kama zakushikiwa na mtu hivi.Dada Mwajuma naona kama umepanic hivi.