C casampeda JF-Expert Member Joined Jul 28, 2012 Posts 2,900 Reaction score 507 Apr 26, 2015 #21 alama ya ACT WAZALENDO wameiga.
Yoesa Member Joined Apr 11, 2015 Posts 49 Reaction score 6 Apr 26, 2015 #23 Kama kawaida Niko hewan na search mtandao
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 Apr 26, 2015 #24 Hiyo style inanikumbusha enzi ya nyerere wakati tukimwaaga MKOLONI mweupe!
Mzito Kabwela Platinum Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,908 Reaction score 7,751 Apr 27, 2015 #25 mwinukai said: Yap nami nimeiona ila habari iliyofuata ya Redbriged nathani ITV walichanganya matukio mawili ndani ya mmoja, Tukio la kukutwa na vifaa vya jeshi na Seremala aliyekutwa na viungo vya Albino kwa pamoja Click to expand... Imewekwa vile makusudi!
mwinukai said: Yap nami nimeiona ila habari iliyofuata ya Redbriged nathani ITV walichanganya matukio mawili ndani ya mmoja, Tukio la kukutwa na vifaa vya jeshi na Seremala aliyekutwa na viungo vya Albino kwa pamoja Click to expand... Imewekwa vile makusudi!
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Apr 27, 2015 #26 FUTA DELETE CCM staili.
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Apr 27, 2015 #27 casampeda said: alama ya ACT WAZALENDO wameiga. Click to expand... Act mna alama gani nyie wasaliti?
Emma. JF-Expert Member Joined Jun 25, 2012 Posts 19,932 Reaction score 5,570 Apr 27, 2015 #28 Rich Pol said: Wanapunga mkono kuaga maana kinakufa baada ya uchaguzi mkuu. Click to expand... Ficha ujinga wako ccm ni sawa mgonjwa ambaye yupo ICU muda wowote anaweza kufa.
Rich Pol said: Wanapunga mkono kuaga maana kinakufa baada ya uchaguzi mkuu. Click to expand... Ficha ujinga wako ccm ni sawa mgonjwa ambaye yupo ICU muda wowote anaweza kufa.
P Paluhengo Member Joined Dec 15, 2014 Posts 26 Reaction score 8 Apr 27, 2015 #29 naomba msaada mwenye wimbo wa 'polisi msitupige mabomu chadema ni serikali ijayo' mwenye nao au link tafadhali nipo kujenga chama huku kijijin kwetu.
naomba msaada mwenye wimbo wa 'polisi msitupige mabomu chadema ni serikali ijayo' mwenye nao au link tafadhali nipo kujenga chama huku kijijin kwetu.
P PLEASE JF-Expert Member Joined Nov 6, 2013 Posts 569 Reaction score 201 Apr 27, 2015 #30 casampeda said: alama ya ACT WAZALENDO wameiga. Click to expand... acha uongo alama yenu mnagandisha limkono juu ova trafiki barabarani anasimamisha gari apige bao
casampeda said: alama ya ACT WAZALENDO wameiga. Click to expand... acha uongo alama yenu mnagandisha limkono juu ova trafiki barabarani anasimamisha gari apige bao
N natumbaku Chambeho JF-Expert Member Joined Aug 27, 2014 Posts 551 Reaction score 209 Apr 27, 2015 #31 Wakifanya hivyo huwa wanaimba moyoni, bai bai ccm, bai bai mkoloni mweusi".
MANYORI Jr JF-Expert Member Joined Mar 25, 2012 Posts 462 Reaction score 343 Apr 27, 2015 #32 Ni kutia matumaini,upendona,subira.hata kwenye maombezi haya mambo yapo!