Chadema na operations lukuki bila feedback.

kitambiheshima

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
452
Reaction score
116
Tujikumbushe ndugu wanajamvi mlolongo wa operations za chadema.
1. Operation ufisadi
2. Operation pinga matokeo ya urais 2011.
3. Operation dhoofisha serikali ya Kikwete 2011 kwa lengo la kutaka wananchi waikatae kama ilivyotokea Libya, Tunisia na Misri.
4. Operation hamasisha migomo ya walimu na madaktari.
5. Operation sangara
6. Operation M4C
7. Operation chadema msingi
8. Operation vuruga mchakato wa katiba
9. Na sasa, Operation M4C pamoja daima.

Kimsingi ndugu wanabodi, pamoja na uwingi wote huo wa operations hata siku moja chadema hawajawahi kutupa feedback wanachadema , mashabiki na watanzania kwa ujumla juu ya mafanikio ya orodha hiyo ya operations.

My take: Operations za chadema ni utengenezaji wa ulaji wa fedha za ruzuku. Ingefaa chadema, pamoja na mambo mengine ijikite pia katika uimarishaji wa ofisi za chama kuanzia makao makuu hadi zalau Wilaya. Hadhi ya ofisi za chama kuanzia taifa zinatia kichefuchefu. Yaani hazifanani na jina la chama. Pia chadema ijitahidi kutafuta wanachama wenye akili timamu. Huwezi kuwa na wanachama machizi na wanywa viroba ukaota watu wakupe ikulu, never!. Anayebishana na ukweli huu afanye utafiti juu ya aina ya wanachama na viongozi wa chadema iliyonao, kuanzia viongozi. Wengi wao ni rejects ama katika jamii au kwenye ajira zao. Wengi wa wanachama wa chadema wamelewa viloba muda wote, ni wasema hovyo, matusi kwao ni kawaida. Sasa mtu unajiuliza juu ya watu hawa ambao wanaitaka ikulu kwa nguvu zote, unakata tamaa kabisa ya kuishi ktk nchi hii.
 
wewe huwa unakunywa nao viroba wapi? mbona wale ninaowajua mimi hawanywi viroba. inawezekana hao ni marafiki wako ulionao ndani ya hicho chama ambao hata CCM wapo. Nani alikwambia pombe inanywewa na wanachama wa chama kimoja tuu?. acha wongo na upotoshaji.

operasheni hizi zimezaa matunda mengi sana labda kama unataka wakuletee report wewe binafsi.
 
M4C ilianzishwa ili kumuokoa LEMA na ugumu wa maisha baada ya kufukuzwa ubunge.
 
We pipi njoo nikunyonye utam. Kama hujaelewa ninachokizungumza unakaa kimya au la wape jamaa wakuzibue pambaaaaa.....fuuuu
 
mtu mwenye akili timamu na heshima hawezi weka avatar kama yako,akili yako imeishia mapajani!!mbona husemi kauli mbiu za kilimo tanzania hii tangu tupate uhuru na sasa BRN?
 
Kwakuwa ni chama ambacho kinaendeshwa kitapeli na kilaghai kwa kuwafumba macho watu lakini ndani yake ni miradi ya mbowe na wenzake namna ya kule hela.
 
Tujikumbushe ndugu wanajamvi mlolongo wa operations za chadema.
1. Operation ufisadi
2. Operation pinga matokeo ya urais 2011.
3. Operation dhoofisha serikali ya Kikwete 2011 kwa lengo la kutaka wananchi waikatae kama ilivyotokea Libya, Tunisia na Misri.
4. Operation hamasisha migomo ya walimu na madaktari.
5. Operation sangara
6. Operation M4C
7. Operation chadema msingi
8. Operation vuruga mchakato wa katiba
9. Na sasa, Operation M4C pamoja daima.

Kimsingi ndugu wanabodi, pamoja na uwingi wote huo wa operations hata siku moja chadema hawajawahi kutupa feedback wanachadema , mashabiki na watanzania kwa ujumla juu ya mafanikio ya orodha hiyo ya operations.

My take: Operations za chadema ni utengenezaji wa ulaji wa fedha za ruzuku. Ingefaa chadema, pamoja na mambo mengine ijikite pia katika uimarishaji wa ofisi za chama kuanzia makao makuu hadi zalau Wilaya. Hadhi ya ofisi za chama kuanzia taifa zinatia kichefuchefu. Yaani hazifanani na jina la chama. Pia chadema ijitahidi kutafuta wanachama wenye akili timamu. Huwezi kuwa na wanachama machizi na wanywa viroba ukaota watu wakupe ikulu, never!. Anayebishana na ukweli huu afanye utafiti juu ya aina ya wanachama na viongozi wa chadema iliyonao, kuanzia viongozi. Wengi wao ni rejects ama katika jamii au kwenye ajira zao. Wengi wa wanachama wa chadema wamelewa viloba muda wote, ni wasema hovyo, matusi kwao ni kawaida. Sasa mtu unajiuliza juu ya watu hawa ambao wanaitaka ikulu kwa nguvu zote, unakata tamaa kabisa ya kuishi ktk nchi hii.
Feedback wewe ni kipofu?kama huoni tumia radio utasikia tu
 
mtu mwenye akili timamu na heshima hawezi weka avatar kama yako,akili yako imeishia mapajani!!mbona husemi kauli mbiu za kilimo tanzania hii tangu tupate uhuru na sasa BRN?
Bavicha wote mnawaza mapaja tu wazee wenu wamewaharibu ukichanganya na hiyo gongo mnayokunywa mnakuwa bure kabisa.
 
m4c pamoja daima ndiyo habari ya mujini kwa sasa!!!!
 
uzi huu umeanzishwa na mtu mmoja na ni huyo anajijibu kwa id tofauti tofauti
 
Baada ya hii operation pamoja daima watakuja na pamoja daima milele Slaa na Josephine ha haaaaa!
 
Chadema is made of Big Voices but small Brains, no accountability less Moral values and non existing loyality
 
Feedback gani ulitaka wew boya?
Katiba mpya ni natunda ya CUF ama Ccm?, Epa, Richmond na jumla ya ufisadi ni matunda yako?, ongezeko la wanachama wa CDM ni matokeo ya nini? Tambua kila wanachofanya hawa jamaa wana elewa hatima, mimi ni CCM mwenzio ila nakwambia tujipange!!! Alafu mi si simple minded kaka Ccm wew!
 
Jukwaa la siasa kweli limevamiwa, wewe ndiye ulikuwa na uzi ukisema Chadema wafukuzeni akina Ben, Prf Maregu, Marando nk, sasa unakuja ni hii, naomba kukuuliza hivi wale mawairi mizigo wameng'oka? Hivi wananchi hawatawazomea mkienda kuwaambia kuwa wale mawaziri bado wapo?

Tujikumbushe ndugu wanajamvi mlolongo wa operations za chadema.
1. Operation ufisadi
2. Operation pinga matokeo ya urais 2011.
3. Operation dhoofisha serikali ya Kikwete 2011 kwa lengo la kutaka wananchi waikatae kama ilivyotokea Libya, Tunisia na Misri.
4. Operation hamasisha migomo ya walimu na madaktari.
5. Operation sangara
6. Operation M4C
7. Operation chadema msingi
8. Operation vuruga mchakato wa katiba
9. Na sasa, Operation M4C pamoja daima.

Kimsingi ndugu wanabodi, pamoja na uwingi wote huo wa operations hata siku moja chadema hawajawahi kutupa feedback wanachadema , mashabiki na watanzania kwa ujumla juu ya mafanikio ya orodha hiyo ya operations.

My take: Operations za chadema ni utengenezaji wa ulaji wa fedha za ruzuku. Ingefaa chadema, pamoja na mambo mengine ijikite pia katika uimarishaji wa ofisi za chama kuanzia makao makuu hadi zalau Wilaya. Hadhi ya ofisi za chama kuanzia taifa zinatia kichefuchefu. Yaani hazifanani na jina la chama. Pia chadema ijitahidi kutafuta wanachama wenye akili timamu. Huwezi kuwa na wanachama machizi na wanywa viroba ukaota watu wakupe ikulu, never!. Anayebishana na ukweli huu afanye utafiti juu ya aina ya wanachama na viongozi wa chadema iliyonao, kuanzia viongozi. Wengi wao ni rejects ama katika jamii au kwenye ajira zao. Wengi wa wanachama wa chadema wamelewa viloba muda wote, ni wasema hovyo, matusi kwao ni kawaida. Sasa mtu unajiuliza juu ya watu hawa ambao wanaitaka ikulu kwa nguvu zote, unakata tamaa kabisa ya kuishi ktk nchi hii.
 
Kilimo ni uti wa mgongo, kilimo cha kufa na kupona,kilimo kwanza, matokeo makubwa sasa,operation kimbunga, operation tokomeza ujangili, mkukuta,mkurabita, milenium dev goal,hari zaid nguvu zaid na kasi zaid weeee mbw...aaaaaa nadhani hata shule ujaenda hapo
 
Kwakuwa ni chama ambacho kinaendeshwa kitapeli na kilaghai kwa kuwafumba macho watu lakini ndani yake ni miradi ya mbowe na wenzake namna ya kule hela.
Rais wa nchi anamjua jk""" sssssm wahuni kweli
 
Back
Top Bottom