George Kahangwa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2007 Posts 547 Reaction score 148 Feb 6, 2012 #21 Ufunuo said: Halima James Mdee duh.... na Fransis mbatia mmmh.... jamaa atakua alikua anatetemeka akili. Click to expand... Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi anaitwa James Francis Mbatia Mbunge wa jimbo la Kawe anaitwa Halima James Mdee
Ufunuo said: Halima James Mdee duh.... na Fransis mbatia mmmh.... jamaa atakua alikua anatetemeka akili. Click to expand... Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi anaitwa James Francis Mbatia Mbunge wa jimbo la Kawe anaitwa Halima James Mdee
Mzito Kabwela Platinum Member Joined Nov 28, 2009 Posts 18,904 Reaction score 7,746 Feb 6, 2012 #22 Ni kweli. Source: Mlimani TV now
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Feb 6, 2012 Thread starter #23 hongereni kwa ndoa.sasa kafulila atahamia cdm au atang'ang'ania nccr mana huu muungano kwake ni changamoto kubwa sana.
hongereni kwa ndoa.sasa kafulila atahamia cdm au atang'ang'ania nccr mana huu muungano kwake ni changamoto kubwa sana.
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Feb 6, 2012 Thread starter #24 Hongera dada Halima,mambo yako safi sasa.angekunyima ulaji huyu jamaa
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Feb 6, 2012 Thread starter #25 mgodi said: Mkuu, tupe chanzo au ndiyo kama hatutaki tuache? Click to expand... umeambiwa itv lakini mi naongeza tu kuwa hata mlimani tv na star wameonyesha hiyo.acha kulala utaachwa na basi.
mgodi said: Mkuu, tupe chanzo au ndiyo kama hatutaki tuache? Click to expand... umeambiwa itv lakini mi naongeza tu kuwa hata mlimani tv na star wameonyesha hiyo.acha kulala utaachwa na basi.
Mwanajamii JF-Expert Member Joined Mar 5, 2008 Posts 7,063 Reaction score 71 Feb 6, 2012 Thread starter #26 huu muungano ni muhimu kwa sasa kuliko kipindi kingine chochote kilichopita.kazi ipo kwa kafulila sijui atakimbilia wapi.mana alishaanza kujisogeza cdm sasa wenzao wame merge.
huu muungano ni muhimu kwa sasa kuliko kipindi kingine chochote kilichopita.kazi ipo kwa kafulila sijui atakimbilia wapi.mana alishaanza kujisogeza cdm sasa wenzao wame merge.