CHADEMA na Mmomonyoko Maadili

KUISHABIKIA CHADEMA NI UZOMBI NA UMBUMBUMBU WA MAARIFA. KWA MWENYE AKILI TIMAMU KABISA HUWEZI KUSIMAMA MBELE YA WANAUME WENZAKO NA KUKITETEA CHAMA CHA WAVUTA UNGA NA BANGI KAMA CDM.

CHA AJABU KUNA MAPROFESA NA MADAKTARI WA FILOSOFIA HUMO MPAKA UNAJIULIZA HIVI HAWA WAKO SAWA KWELI AU WAMETEKWA AKILI? WANAONGOZWA NA FORM VI FAILURE (MR. MISIFA - MBOWE).

HOPELESS.
 
Ni hatar sana mkuu na watanzania sjui tuna matatizo gan mtu akishaambiwa ye ni kamanda ndo anawehuka kabisa utafikili ana mapepo
 
mtoa rushwa (CCM) na mpokea Rushwa (Diwani) inakuaje unasema CDM hakina maadili?
 

Cham kimoja kikuu kabisa chenye miaka zaidi ya 55 kilichoweza kufanya mpaka sasa ni kuwafanya watanzania masikini lakini watawala na marafiki zao mtajiri kwa kupindukia huku wakijilimbikizia raslimali zetu.

Mojawapo ni ile ya kununua Kivuko kibovu cha mwaka 1948 kwa bilioni nane,Pesa za Escrow,IPTL,Richmond,UDA,Lugumi ni madudu mengi mno,halafu mnakuja huku kujisafisha.

Chama Cha Mauaji/Majizi
 
anaza wewe kujiuliza je uko sawa ubongo wako.. kisha mshirikishe na MUMEO akusaidie
 
Chama kinachojinadi ni mbadala kina viongozi wanaonunuliwa Mwenyekiti ana tuhuma za kuhongwa bilioni 5 ili kumpokea mtu waliyesema ni fisadi,chama hiko hiko kinachosema kinawakomboa watanzania katibu wake mkuu anashutumiwa kununuliwa na CCM leo madiwani wake wanashutumiwa kununuliwa na CCM hiki ni chama au viongozi wao ni bidhaa?
 
ZIle za Bilion nane za Kivuko Kibovu zilibebwa na Mbowe au na aliyekuwa waziri wa Ujenzi na mpaka leo hamisemi??Au hiyo ni uwezeshaji??
Hapa tuonaongelea bilioni 5 zilizoandikwa kwenye hilo gazeti mkuu kama una gazeti la hizo bilion nane weka hapa mkuu
 
mtoa rushwa (CCM) na mpokea Rushwa (Diwani) inakuaje unasema CDM hakina maadili?
mtoa rushwa CCM mpokea rushwa DIWANI wa CHADEMA anayenunuliwa kama wale madada poa
 

Hivi unajua kwanini Halmsahuri zetu zinanuka RUSHWA na UFISADI??Umeshajiuliza hata siku moja??Umejiuliza ni kwanini miaka 55 hakuna Halmsahuri yenye HATI safi,na kama ipo basi RUSHWA kubwa imetumika unalijua hili??Ukishalijua hili basi usiwe unakubali kila kitu unachoambiwa.Sasa nakupa shule ndogo tu uitafakari nategemea tutaelewana:

1.Madiwani/Wenyeviti wa mitaa ndiyo wanaofanya kazi kubwa sana kwenye maeneo yetu kuliko Wakuu wa mikoa/Wilaya na Wabunge.
2.Hawa wote ndiyo ambao hawalipwi posho wala mishahara
3.Wengi wao ni darasa la sababu au kidato cha nne na wapo basi ni wachache sana ambao wamemaliza chuo kikuu na kuna wengine hata KUSOMA,KUANDIKA na KUHESABU ni shida hawa ndiyo tunawapa wasimamie serikali zetu za mtaa au halmashauri.
Tanzania yetu hasa mikoani/wilayani na kwenye Halmashauri zetu tunategemea kupata maendeleo kutoka kwao,hawa ambao Wakurugenzi,Wakuu wa WIlaya na Wakuu wa Mkoa wanawapa pesa kidogo tu ili kufanikisha madeal yao.Unategemea huyu akipewa milioni tano na kiinua mgongo cha mil11 akatae,sidhani kama ni rahisi si kwa CCM wala Chadema.

Tunachotakiwa ni kuwapigia debe hawa walipwe kama walipwavyo wabunge hata wapewe 1.5M kwa mwezi Rushwa na Ufisadi kwenye Halmashauri zetu zitakuwa hadithi.

Waweke Sheria kwamba Diwani lazima awe ana atleast cheti cha ufaulu kidato cha sita,tukianza huku lazima tutapaa kimaendeleo,vinginevyo ukichanganya na KKK za wakuu wa mikoa na wilaya tutasota sana.

SIkubaliani na anayepokea wala anayetoa RUSHWA,na Rushwa si chama ni watu binafsi.Siichukii CCM na wachukia wachumia tumbo wote walioko ndani ya CCM pamoja na wale wote wanaowasupport upumbavu huu.

Nilitegemea upige vita wote hawa waliopokea na waliotoa wote ni wakufunga tu hakuna msafi hapo,hivyo usiwalaumu waliojua kwamba ahwa wamepewa RUSHWA.

Mkuu ukila EMBE MBICHI meno yako ndiyo yatakayokuwa na GANZI na si ya mwanao.Kikubwa tupige vita RUSHWA period
 
Hapa tuonaongelea bilioni 5 zilizoandikwa kwenye hilo gazeti mkuu kama una gazeti la hizo bilion nane weka hapa mkuu

Hilo GAZETI la KADA wa CCM kwanini hakwenda TAKUKURU??
 

Kwa sababu KADA kasema,nilitegemea kabla hujanyoosha vidole ungesafisha nyumba yako kwanza,lakini unapiga mbizi huku umevaa TAULO shauri yako.Kivuko Bilioni nane mkahonga JESHI inaelekea CCM kuhonga ni sera yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…