Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,056
- 1,867
Mikoa inayoongoza kwa ustaarabu Tanzania inapaswa iwe ni ile watu wake wameelimika, inawasomi wengi unaweza nitajia mikoa hiyo ? kwa taarifa yako uko kwa wasomi ndiko CHADEMA inakokubalikaKuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.
Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.
Thread thread thread RIP thread, tulikupenda sana ila mods wamekupenda zaidiKuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.
Mkuu Shekau, leo unatuletea ujumbe huu ukiwa maiduguri au dutse? Maana hayo yote ni maeneo yako. Invincible man. Mwenyezi Mungu aliye juu yuko na CDM. CDM ndo roho ya watanzania wanaotaka mabadiliko ya maisha yao kwa sasa. Kalagabaho.Kuna misemo ya kiswahili kama mbio za sakafuni huishia ukingoni,ngoma ikilia sana mwisho wake hupasuka,hata maji yachemke kiasi gani mwisho wake yatapoa,hata jiwe lirushwe juu kiasi gani lakini litarudi chini.Hiyo ni baadhi tu ya misemo michache kati ya mingi inayoashiria kuporoka kwa chadema.chama kimekuwa hakina mvuto kimekuwa kama genge la wahuni.hivi mtu mwenye busara zake anaweza kushabikia chadema?na ndio maana ile mikoa inayoongoza kwa ustaarab wameamu kukataa hiki chama.Chama kimekuwa kama kambare yaani mtoto ndevu na mkubwa ndevu yaani kila mtu ni msemaji wa chama.Msidanganyike na hao wapiga debe na bodaboda wanaohudhuria mikutano yenu lakini mkumbuke siku ya uchaguzi hao wala hawana mda wa kupiga kura wanaopiga kura ni wakina mama na waze wanaojua umuhimu wa chama kipi cha kupigia kura.
kwa staili chadema hakita anguka?
changia bila matusi.