Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,310 May 4, 2023 #1 Kwa chama cha siasa duniani kinahitaji mtaji wa wanachama ili kiweze kushinda uchaguzi. CHADEMA sasa imekuja na mkakati wa kijasusi kwenye kukiimarisha chama na kuongeza mapana ya chama chetu. Wanawake ktk siasa za Afrika ndiyo mtaji mkubwa sana hasa kwenye kufanya hamasa na kwenye kujitokeza kupiga kura. CHADEMA imekuwa ikiongeza sana idadi ya wanachama hasa akina mama ili kuweza kuenenda na mkakati halisi wa kushinda huu mchezo. Hongereni sana wana CHADEMA wote na uongozi mkuu wa CHADEMA. Hapa chini ni wana CHADEMA wilaya ya Nachingwea ambako muamko wa siasa za upinzani zilikuwa ni almost ni 0 kipindi cha nyuma. Your browser is not able to display this video.
Kwa chama cha siasa duniani kinahitaji mtaji wa wanachama ili kiweze kushinda uchaguzi. CHADEMA sasa imekuja na mkakati wa kijasusi kwenye kukiimarisha chama na kuongeza mapana ya chama chetu. Wanawake ktk siasa za Afrika ndiyo mtaji mkubwa sana hasa kwenye kufanya hamasa na kwenye kujitokeza kupiga kura. CHADEMA imekuwa ikiongeza sana idadi ya wanachama hasa akina mama ili kuweza kuenenda na mkakati halisi wa kushinda huu mchezo. Hongereni sana wana CHADEMA wote na uongozi mkuu wa CHADEMA. Hapa chini ni wana CHADEMA wilaya ya Nachingwea ambako muamko wa siasa za upinzani zilikuwa ni almost ni 0 kipindi cha nyuma. Your browser is not able to display this video.
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,889 Reaction score 8,486 May 4, 2023 #2 Abdul Kambaya akimbia Chadema, asema kuna udikteta
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,635 May 4, 2023 #3 Wasalimie Wamakonde Wote hapo Nachingwea
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 123,266 Reaction score 98,310 May 4, 2023 Thread starter #4 Kulwa Jilala said: Abdul Kambaya akimbia Chadema, asema kuna udikteta Click to expand... Dikteta yupo futi 6
Kulwa Jilala said: Abdul Kambaya akimbia Chadema, asema kuna udikteta Click to expand... Dikteta yupo futi 6