ACT at work,vipi zzk hajaanza ziara mikoani angalau mpate posho?:drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama::drama:Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.
Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.
Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.
Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.
Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.
Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.
Umeapagawa mapema hivi bado zitto mzima atawasurubu mpaka basi.Mataahira ndivyo walivyo!..... sijui na hii Sheria ya Makosa ya Mitandao utaitaje kama siyo udikteta kama wa North Korea, China, Syria, Russia etc.
Mbowe na nkurunzinza like father like son,wote madikiteta
Umeapagawa mapema hivi bado zitto mzima atawasurubu mpaka basi.
Unasemaje kuhusu Zitto aliye pangua mipango yote aliyoikuta imewekwa na wenzake ACT na kujipachika nafasi ya kiongozi mkuu wa chama ili aweze kuwamiliki wenzake na vyote alivyovikuta,Je huo siyo udikteta?.Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.
Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.
Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.
Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.
Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.
Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.
Kuna kila dalili, kutokana na tabia za wafuasi wake ambao zimejidhihirisha humu, kwamba Chadema kikaja kuwa na utawala wa kidikteta.
Nasema hivyo, kwakua, members wengi wenye mtazamo wa kukisupport chama hicho ni wale ambao hawataki mawazo taofauti na yao.
Sijui ni kwa namna gani binadamu, anakua na uwezo wa kumkataza mwenzake kufikiri...ama hata kuzungumza mawazo yake?? Ni ajabu sana.
Ukienda kinyume na mawazo ya mashabiki wa chama hicho lazima upokee matusi ni ajabu sana.
Inashangaza kuona ni kwa namna gani serikali ya ccm ingeamua kua na hulka kandamizi , vyama vya upinzani vingepata wapi kuzungumza haya wanayoyazungumza.
Nasikitishwa na ninaomba sana Mungu Chama cha namna hii kisipate nafasi ya kutuongoza, kwa hulka hizi, kuna hatari haki za raia wengi kukandamizwa.
Mkuu stroke, kabla hujawaangalia mashabiki angalia kwanza mwenyekiti wa chama. Mbowe ni mtu anayejiona kwamba yeye yupo sahihi muda wote na hapaswi kukosolewa, yeyote anayemkosoa hubatizwa jina la msaliti na kufukuzwa uanachama. Dunia nzima, katika masuala ya uongozi na siasa, demokrasia haiwezi kukamilika bila kuwepo utaratibu wa ukomo wa madaraka na kuachiana vijiti vya uongozi. Kwa mwenyekiti Mbowe, suala la ukomo wa uongozi ni kosa la jinai na yeyote anayehoji moja kwa moja ni msaliti. Ili kujihakikishia haachii kijiti cha uongozi, mwaka 2006 akafanya kituko cha kuondoa ukomo wa uongozi katika katiba eti hiyo akiita demokrasia. Mbaya zaidi katiba inakataza mwanachama kwenda kupata haki katika chombo kinachotambulika duniani kote katika suala la utoaji haki, mahakama. Mwanachama wa Chadema haruhusiwi kwenda mahakamani. Demokrasia gani isiyotambua mihimili ya utoaji haki? Hawa ni viongozi wanaojivika shuka la demokrasia huku wakiwa na damu na roho za udikteta. Udikteta huu wameurithisha hadi kwa wafuasi wao humu jamvini, ambapo mtu akitoa mawazo yanayopingana na wao hutukanwa matusi ya kila aina, na hata kupewa kejeli za kila namna. Sishangai kuona hata huu mchango wangu, wadikteta hawa wakaja kwa nguvu zote na kuanza kunikejeli na kunitolea kashfa kana kwamba kilichosemwa hapa ni uzushi na uongo.