Anaweza asigombee tena. Upepo ni mkali sanaMa Padlock anasemaje si ndiyo Mungu wenu huko shauri yenu si mlipenda kuchagua maga.mba?
Anaweza asigombee tena. Upepo ni mkali sana
YETU MACHO...ILA PICHA NILILOLIONA MUGANZA SIO JEPESI KAMA Gosbert UNAVYOLIELEZA. HAKIKA NILIANZA KUCHUKUA UWEPO WA VYAMA VINGI KWANI MAMBO KIMANTIKI HAYAENDI!
YOTE SAWA ILA KUMBUKA WATOTO HADI SASA HAWAENDI SHULE WANASUBIRI MADARASA.....i THINK HATA KAMA KUNA U-CCM NA U-CDM WANGEPASWA KUWAANGALIA WATOTO HAWA KWANZA! nGUMI ZAO ZISIWAKOSESHE WATOTO HAWA HAKI YA KUSOMA. nDO ANGALIZO LANGU!Mkuu JamboJema Naona maelezo ya Gosbert yana mashiko, sababu ya mambo kusuasua ni vidudumtu vya ccm. logicwise si busara kuanza kujenga vyumba vya madarasa wakati mradi wa ujenzi wa Zahanati haujaukamilisha. kamilisha zahanati haraka kisha anza kujenga vyumba vya madarasa. hawa ccm kazi yao propaganda, wanawakwamisha chadema ili watengeneze single kana kwamba wananchi hawana macho vile!!!
NDIYO MAANA WALE WA MASASI HAWAJUI CHUKI ILITOKEA WAPI HADI WANANCHI WENYE HASIRA KALI KUZICHOMA KWA MOTO NYUMBA ZAO WAO WANA CCM NA NI VIONGOZI WAANDAMIZI.