CHADEMA mziki mnene

Sexer

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2014
Posts
8,504
Reaction score
8,253
Huu ni mkutano wa viongozi wa kanda ya ziwa victoria ulioongozwa na katibu wa kanda pamoja na mwenyekiti wa mkoa geita kamanda mawazo

Hivi bila mzito kabwela kile cha cha zambarau kinaweza kufanya mkutano na watu wakajitokeza?!
 
ACT ni Zito na Zito ndiyo ACT....hakuna popote hawa washkaji watafanya kusanyiko pasipo Zito wakapata hata watu kumi!!.
 
Kazi ya Mawazo imetukuka,Mungu mbariki Kamanda Mawazo,Mungu ibariki Chadema
 
Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto.
 
Last edited by a moderator:
Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto.
Uhai wa CHADEMA unatokana na Zitto. Kwa sasa wanahaha kumchafua lakini ndo kwanza wanampaisha kisiasa
 
Chadema wamevurungwa sana kila kwenye shughuli zao lazima wamtaje Zitto.
mpaka umezeekea humu JF hujawahi kuwa na msuli wa kututikisa.tumekuzoea na maneno yako ya kanga
 
Last edited by a moderator:
CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao
 
CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao
 
Wewe njaa tu iliyokuweka ccm sio mshabiki. Hujawahi kuongea point. CCM ni chama kinachojifia lakini sijawahi hata kusikia ushauri wako.
CHADEMA wakifanikiwa kushinda majimbo zaidi ya ishirini nitaacha kuishabikia CCM. Uchaguzi ujao chadema hawana chao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…