kigogo1ivi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2013 Posts 539 Reaction score 343 Apr 21, 2013 #1 Tunaomba kujua mkutano utafanyika uwanja gani maana kunataarifa kuwa sio sahara ni mbugani, hebu tufafanulieni hili
Tunaomba kujua mkutano utafanyika uwanja gani maana kunataarifa kuwa sio sahara ni mbugani, hebu tufafanulieni hili
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Apr 21, 2013 #2 njoo mbugani kuanzia saa 9. chadema ndio habari ya mjini!!!