Kwenye bold ebu tuambie kafanya vitu gani? kwani bila Star TV hawezi kuwaletea wapiga kura wake maendeleo? mbona kuna mikoa mingi tu wabunge wake wanafanya kazi bila TV? mbona katoa utetezi wa kiwango cha chini kabisaNiko hapa kwenye viwanja vya pasiansi mwanza this tym.. Namuona Higghness Kiwia mbunge wa Ilemela, ametangaza hapa hadharan kwamba watu wa wasiangalie star tv kabisa kutafuta habar zake, hawatakaa wamuone coz mpinzan wake ambaaye ni mmiliki wa kituo hicho, amezuia kabisa haabar zake kuruka on air.. Jamaa anajitetea hapa kwamba amefanya vitu toka ameingia.. Inaonekana kama raia hawamuelewi hivi. Siasa hizi tabu kweli...... Ila kiukwel anasema amekomaa sana mpaka fungu la hospitali ya wilaya ya ilemela limeshafika..
Kwenye bold ebu tuambie kafanya vitu gani? kwani bila Star TV hawezi kuwaletea wapiga kura wake maendeleo? mbona kuna mikoa mingi tu wabunge wake wanafanya kazi bila TV? mbona katoa utetezi wa kiwango cha chini kabisa
Ametoa gari kwa ajili ya kusaidia wananchi katika matatizo mbali mbali.
Noah ndio itasaidia matatizo ya wananchi?
Nadhani mbunge haitaji media kutekeleza majukumu yake ye afanye kazi wananchi wanayotegemea then kuhusu habari zake hakuna mazuri yanayojificha especially katika tanzania hii ambayo ccm imechokwa. Hao startv tunawajua tangu enzi za uchaguzi walishindwa kutoa matokeo ya mwanza wakati na wao wapo hapo.
Highness Kiwia and Ezekia Wenje chapeni kazi mazee hakuna kulala na siku zinakimbia
Aache kusingizia Star tv mambo anayoyafanya kwa wananchi yataonekana moja kwa moja bila kutegemea tv, Pia namshauri atengeneze mfumo wa mawasiliano bila kutegemea tv wala redio ajifunze kwa mbunge wa Arusha jinsi alivotengeneza mfumo wa mawasiliano na wananchi hususani vijana akifanya hivo hahitaji star tv kufikisha ujumbe kwa wananchi.
Kwenye bold ebu tuambie kafanya vitu gani? kwani bila Star TV hawezi kuwaletea wapiga kura wake maendeleo? mbona kuna mikoa mingi tu wabunge wake wanafanya kazi bila TV? mbona katoa utetezi wa kiwango cha chini kabisa