Riziki Magembe
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 886
- 206
Wana jamvi katika mambo leo yamenifanya nipate faraja na chadema muheza ni ubunifu mkubwa walio kuja nao,leo kamati ya utendaji ya chadema(w) katika kikao chake cha leo cha maandalizi ya uchaguzi pamoja na mambo mengine kubwa lenye tija kwa chama ni kupitisha azimio la kuunda kamati maalum ya maridhiano yenye wazee na wakongwe wasiasa ikiwa chini ya mwenyekiti wa chadema mkoa na mwenyekiti wa chadema wazee mkoa,kamati hiyo itakayo kuwa na majukumu;1;kuwakutanisha katika kikao cha pamoja wagombea wote wa nafasi za uongozi ndani ya chama;2;kukaa na wagombea wote na kuwapa nasaha juu ya uchaguzi ndani ya chama;3;kuwa andaa wagombea kisaikolojia kwa matokeo yeyote watakayo pata kila mmoja wao;4;kuwapanga kuwa timu moja katika chama kuepuka makundi,kuchafuana na pia kujihadhara na rushwa;5;kuwapa miongozo,kanuni na taratibu za chama kama wagombea;6;kuwaandaa vyema kukabiliana na hofu ya kushindwa ama kushinda;7;kuwajengea uwezo wa kukipenda chamana kuwapenda wagombea wenzake-9/8/2014 uchaguzi chadema muheza