VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,004
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
MJOMBA POKEA shukurani hizi ninazozitoa kwa niaba ya familia yangu .chadema tunaongozwa na Mungu wewe ndiyo maana tunapanga mambo yanapangika.
Mkuu VUTA- NKUVUTE , mara nyingi kwako siasa imekuwa si vita , laiti kama wakikusikia pale ofisi ndogo , watakutenga , maana kwao siasa ni mabomu na mauaji ! Mungu akulinde sana kiongozi .Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao DR SLAA ! SLAA ni tunu , tumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu , CCM WAKIMUONA WANATAWANYIKA !
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
asante sana ndugu MWANACCM , wewe ni kati ya wanaccm wale WATATU wenye akili , mmoja aliitwa NYERERE (, keshatangulia mbele ya haki ) , mwingine simtaji !
Ni kweli mkuukwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao DR SLAA ! SLAA ni tunu , tumshukuru Mungu kwa kutupa mtu huyu , CCM WAKIMUONA WANATAWANYIKA !
MJOMBA POKEA shukurani hizi ninazozitoa kwa niaba ya familia yangu .
kwenye haya mambo ya kigoma , ndiyo mahali ambapo nimejihakikishia uwezo mkubwa alionao dr slaa ! Slaa ni tunu , tumshukuru mungu kwa kutupa mtu huyu , ccm wakimuona wanatawanyika !
Wamefata nini mapema hivi huko Kigoma wakati majuzi tu wamemvua madaraka mtu wao? Kama si uchokozi ni nini? Si wangesubiri kidogo upepo mbaya upite kwanza ndio waende! Hakuna anayewatega,wamejiroga wenyewe!
Kwa yanayoripotiwa Kigoma,CHADEMA wako mtegoni. Wako mtegoni kwa maana moja kubwa.Wanachokozwa. Wakijibu mapigo (kwa mfano wa kutumia Red Brigade kuwadhibiti wabeba mabango), Polisi hawatasita kuusambaratisha mkutano wao kwa mabomu ya machozi.Watu watajeruhiwa na hata kuuwawa. Ikifikia hapo,lawama zitaelekezwa kwao. Mengi yatasemwa. Michoro mbalimbali itachorwa.
Hadi sasa, CHADEMA wameuepuka vyema mtego huo. Mara nyingi imeripotiwa kuwa Dr.Slaa aliwaamuru Polisi na walinzi wengineo wawapishe wabeba mabango.Wasidhibitiwe. Wasipigwe.Nadhani Dr.Slaa ameona mbali sana. Kwa hili,CHADEMA wanastahili pongezi.
Kwetu sisi CCM,tunasema 'ni upepo tu,utapita'. CHADEMA,beware!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
Chadema kigoma bye! bye!
Pole mkuu maisha ndivyo yalivyo kuna siku na wewe utafurahi.Wamefata nini mapema hivi huko Kigoma wakati majuzi tu wamemvua madaraka mtu wao? Kama si uchokozi ni nini? Si wangesubiri kidogo upepo mbaya upite kwanza ndio waende! Hakuna anayewatega,wamejiroga wenyewe!