CHADEMA mtabadilika lini?

CHADEMA mtabadilika lini?

prezdesho

Senior Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
150
Reaction score
79
Hivi mnafikiri kila sehemu kuna maigizo mlianza hatumtambui raisi tukawaambia sawa hamuwezi kumtambua kwakuwa hamja mpigia kura wacha tulio mpigia tumtambue

Mkaja kaanza kwa mbwembwe tu mbona fulani alifanya mlipoona anazidi kumaliza team lowassa bandarini na tra mkakaa kimya mkajua kweli hatanii

Mkaja kwani anachelewa kuchagua baraza atafanyaje kaxi mwenyewe lengo muone udogo bahati nzuri akatangaza mka kaa kimya kwa muda

Baadae mkaanza mbona sura zile zile tukawaambia mji hauendi bila wazee mkatafuta lengine mbona muhongo fisadi karudi tukawaa mbia mbona lowassa fisadi papa alikuwa mgombea wenu hamkuliona kwenu mnaliona kwa magufuli

Wakaja makatibu wengi bado vile vile hajapunguza lolote tukawaomba tofauti kati ya kikwete na magufuli mnatulete uwongo makatibu 22 kwa kikwete umeona wapi

Sasa mnakuja elimu bure uwongo......sasa tunasema endeleeni kuimba taarabu sisi SASA KAZI TU
 
Mahakama kuu y ardhi, imezuia bomoabomoa hadi kesi ya msingi isikilizwe

Umeipata hiyo au unaropoka tu
 
Wanachelewesha ila kubomolewa kupo pale pale
 
sasa tunasema endeleeni kuimba taarabu sisi SASA KAZI TU
Acha ushamba wewe kuimba taarabu nayo ni kazi. Muulize Mzee Yusuph na Khadija Kopa wana CCM wenzio nini kinachowaweka mjini kama siyo kuimba taarabu!?
 
Sisi kazi tu endelea na mipasho utapata unachokitaka
 
Salaam,inabidi tufanye utafiti hasa katika jamii yetu ya kitanzania ili tufahamu vyema utashi wetu katika kupambanua mambo.Katika kuridhia kazi ambazo viongozi wetu wamezifanya kuna aina nne za watu
1.Watu wanaosifia kazi bila sababu za msingi.
2.Watu wanaosifia kazi kwa sababu za msingi.
3.Watu wasiosifia wala kuappriciate kazi kwa sababu za msingi.
4.Watu wasioappriciate na kusifia kazi bila sababu za msingi.
Lakini bado ukweli katika uhalisia kwa kazi inayofanyika ni lazima ubaki palepale.it is the matter of principle kwamba hakuna aliye perfect asilimia 100,hata kiongozi wa taifa kubwa kama barrack obama bado ana madeni mengi tu.
 
Back
Top Bottom