CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

CHADEMA msirudie makosa jimbo la Ngudu

Joined
May 7, 2013
Posts
49
Reaction score
10
Hivi karibuni nilipata kulitembelea jimbo la ngudu lililopo wilaya ya kwimba mkoani mwanza ki ukweli inasikitisha.Licha kuwa moja ya wilaya kongwe ambayo imezaa wilaya za magu na misungwi lakini hakuna maendeleo yoyote,kipande cha barabara kutoka Mabuki kupita Malemve,Jojilo hadi ngudu hakuna tangu uhuru achilia mbali ile km 1 ya rami.

Maisha ni magumu balaa licha ya wanakiji kujitahidi kutafuta maendeleo lakini bado wanakwamishwa na serikali yao kijiji kama Hungumalwa kukosa umeme hii ni aibu.

CHADEMA 2010 kama mngekuwa makini na kumsimamisha mtu mtu mwenye uchungu na maisha ya watu wa jimbo hili mngeshinda.

Ushauri wangu kwenu safari hii anzieni kwenye ofisi tangu niijuwe ofisi yenu ya wilaya karibu na msikiti sijawahi kuiona ikiwa imefunguliwa nadhani mara ya mwisho kufunguliwa ilikuwa baada ya uchaguzi 2010.

Jitahidini kutukomboa nyie ndio tegemeo letu wenzenu wameua hadi zao la pamba amvalo ndio lilikuwa zao mama la bishara,jineri zote zimekuwa magofu.

CHUKUA CHA MAANA TU
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Hiyo ckukua cha maana mbona kwa kifupi ni ccm? Hatutaki kuisikia ccm kwa namna yoyote ile.
 
chadema akipata ngudu atapata wapi pesa ya kuweka rami? mbona mbunge wa viti maalum jimbon humo hajaweka rami wakati ni wa cdm? zungumzia mambo mengine lakini siyo cdm haina mana nyambaf
 
Hujui kama mbunge akiwasilisha hoja zenye mashiko zinaiamsha usingizini serikali kama msingwa hivi karibuni hivi karibuni tatizo mkuu unawaza urais tu wa shiratu uwe dereva
 
Pamoja na hayo ukombozi pia inawategemea pia sio kila kitu afanyenkiongozi mkubwa toka taifa ila nyie wakazi Wa hapo mkishapokea elimu ya ukombozi inabidi mziidi kuineza hadi chini.ondoeni uoga vaeni ujasiri kwa kuhamasisha wanawake kwa vijana na wajitahidi kutowapa mabalozi Wa ccm shahada zao,pia vijana kama nyie muhakikishe mnajiandikisha kwenye daftari la wapiga kura na pia mjitokeze kupiga kura kwa kulilia haisadii chukueni hatua,maisha kuwa magumu kwasbbu ya ccm haimugusi Mbowe peke yake ni pia na wewe ni vizuri mchukue hatua kuanzia sasa kwa wewe unayejitambu.
 
Mwamko ni mkubwa sana ndugu kwa mujibu ya baadhi ya wakazi niobahatika kuzungumza nao shida ni chama kuliwekea kipao mbele kwa kuhakikisha mtu sahihi anagombea na ulindwaji wa kura
 
Hivi hilo jimbo si aligombea Samson Mwigamba ailpokuwa ccm?
 
Watu wa Ngudu walishaichoka ccm kitambo sasa,wanajilaumu sana kuichagua 2010.Jana nilikuwepo maeneo ya Smart Choice Pub nilibahatika kuongea na watu wa kada mbalimbali na wote wanaonekana kujutia maamuzi yao ya kuichagua ccm,pia makamanda wa huko hawataki kumskia yule mbunge wa viti maalumu wa cdm.Wanadai kawasaliti na kanunuliwa ccm!
 
Hivi karibuni nilipata kulitembelea jimbo la ngudu lililopo wilaya ya kwimba mkoani mwanza ki ukweli inasikitisha.Licha kuwa moja ya wilaya kongwe ambayo imezaa wilaya za magu na misungwi lakini hakuna maendeleo yoyote,kipande cha barabara kutoka Mabuki kupita Malemve,Jojilo hadi ngudu hakuna tangu uhuru achilia mbali ile km 1 ya rami.

Maisha ni magumu balaa licha ya wanakiji kujitahidi kutafuta maendeleo lakini bado wanakwamishwa na serikali yao kijiji kama Hungumalwa kukosa umeme hii ni aibu.

CHADEMA 2010 kama mngekuwa makini na kumsimamisha mtu mtu mwenye uchungu na maisha ya watu wa jimbo hili mngeshinda.

Ushauri wangu kwenu safari hii anzieni kwenye ofisi tangu niijuwe ofisi yenu ya wilaya karibu na msikiti sijawahi kuiona ikiwa imefunguliwa nadhani mara ya mwisho kufunguliwa ilikuwa baada ya uchaguzi 2010.

Jitahidini kutukomboa nyie ndio tegemeo letu wenzenu wameua hadi zao la pamba amvalo ndio lilikuwa zao mama la bishara,jineri zote zimekuwa magofu.

CHUKUA CHA MAANA TU

Mimi cha maana nilichochukua ni kukusahihisha, hakuna jimbo la Ngudu isipokuwa kuna jimbo la Kwimba!!
 
Hivi karibuni nilipata kulitembelea jimbo la ngudu lililopo wilaya ya kwimba mkoani mwanza ki ukweli inasikitisha.Licha kuwa moja ya wilaya kongwe ambayo imezaa wilaya za magu na misungwi lakini hakuna maendeleo yoyote,kipande cha barabara kutoka Mabuki kupita Malemve,Jojilo hadi ngudu hakuna tangu uhuru achilia mbali ile km 1 ya rami.

Maisha ni magumu balaa licha ya wanakiji kujitahidi kutafuta maendeleo lakini bado wanakwamishwa na serikali yao kijiji kama Hungumalwa kukosa umeme hii ni aibu.

CHADEMA 2010 kama mngekuwa makini na kumsimamisha mtu mtu mwenye uchungu na maisha ya watu wa jimbo hili mngeshinda.

Ushauri wangu kwenu safari hii anzieni kwenye ofisi tangu niijuwe ofisi yenu ya wilaya karibu na msikiti sijawahi kuiona ikiwa imefunguliwa nadhani mara ya mwisho kufunguliwa ilikuwa baada ya uchaguzi 2010.

Jitahidini kutukomboa nyie ndio tegemeo letu wenzenu wameua hadi zao la pamba amvalo ndio lilikuwa zao mama la bishara,jineri zote zimekuwa magofu.

CHUKUA CHA MAANA TU

Asante Kamanda Tunafanyia Kazi
 
Back
Top Bottom