MAPUMA MIYOGA
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,792
- 2,371
jamaa huyo ni shushushu alikuwa Muccobs miaka mingi sana, hafai kabisa huyo.
Mpaka sasa CCM na intelejensia yake wameshindwa kudhibiti kasi ya CHADEMA kukubalika kwa wapiga kura wengi, hivyo CCM kwa kusaidiwa na wataalam wa kijasusi wameandaa mbinu kadhaa za kuidhoofisha CHADEMA kwa kutengeneza mitafaruku ndani ya CCM ili makada wa juu watimkie CHADEMA kwa kazi maalum.
CCM inakufa, hivyo CHADEMA jipangeni vyema kushika dola.
hili naliunga mkono.ndg.cdm wana takiwakuwa makini sana.awa jamaa watatumia kila mbinu kuakikisha wanaidhibiti cdm kwa mfano kwenye nafasi za ubunge wanajua watapoteza sana kwaiyo watajidai kufukuza watu wakubwa.katika chama.watajiunga na cdm alafu bila cdm kujua watawa simamisha katika majimbo wakidhani ni wakwetu.na jamaa watauza majimbo.na kuwa kosesha cdm majimbo mengi ya uchaguzi.ushauri wangu kwa ndg mbowe.chama kijipange sawa sawa kuwadhibiti masalia ndani ya chama.nanje ya chama.kisikimbilie kupokea watu kutoka ccm.kwa sasa maana mipango yao kwa sasa juu ya cdm ni mikubwa sana na watatumia kila mbinu kuakikisha cdm.inakosa nguvu 2015 pesa zitamwagwa na wenye njaa watachukuliwa ndani ya chama.Binafsi sisemi asipokelewe kabisa; inaweza ikatokea wakapokelewa kama wanachama kama ulivyosema kwa kuwa wanayo haki kikatiba, lakini chadema wasifanye haraka kuwaingiza watu kama hawa kwenye vyombo vya maamuzi ya chama. Ikiwa ni pamoja na kuwatumia kwa uangalifu majimboni mwaka 2015. Maana nina uhakika CCM wataweka mamluki wengi wa kuja kuchukua form za kugombea majimboni na baadaye kutangaza kujitoa ili kuwasafishia njia CCM.
Ingawa ana haki ya kikatiba kujiunga na chama chochote cha siasa, lakini CHADEMA wana haki kumkubali ama kumkataa.
Sasa kinachotakiwa ni kujenga kada mpya ya viongozi ambao hawana nasaba na CCM ili kuepusha madudu ya chama tawala kuendelea kutesa umma.
Mkuu CHADEMA ni chama cha wananchi wote an ni haki ya kila mwananchi kujiunga nacho pale anaporidhia.nadhani hatuna sababu ya kushuku mambo ambayo hayatuhusu.wapinzani aw CHADEMA Hawatoki CCM pekee hata ndani ya chama kunawezekana kukawepo wapinzani pia.uingozi aw chadema una utaratibu wake wa kufanya mambo yake.kama kingekuwa ni chama legelege kisingekuwepo Leo hii.mamluki walikuwepo na wataendelea kuwepo lakini naamini chama kinda utaratibu wake jinsi ya kudeal nao.lakini sio haki kunyima watu kujiunga na chama eti tu kwasababu wametokea CCM. CCM nao wana majukumu Mengi mengine zaidi ya kufikiria kupandikisha mamluki CHADEMA.pia mamluki hawapandikizwi public namna Hiyo. Be blessedKufuatia taarifa za kufukuzwa kwake UVCCM ambapo ni wazi kwa hatua hiyo anaweza akachukua uamuzi wa kujitoa kutoka chama chake cha CCM na kutaka kujiunga na CHADEMA.
Mpaka sasa CCM na intelejensia yake wameshindwa kudhibiti kasi ya CHADEMA kukubalika kwa wapiga kura wengi, hivyo CCM kwa kusaidiwa na wataalam wa kijasusi wameandaa mbinu kadhaa za kuidhoofisha CHADEMA kwa kutengeneza mitafaruku ndani ya CCM ili makada wa juu watimkie CHADEMA kwa kazi maalum.
CCM inakufa, hivyo CHADEMA jipangeni vyema kushika dola.
Wataumia kigezo gani kumkataa?
Unajua kwanini USA inaiunga mkono Israel kwa nguvu zake zote?
What goes around comes around, kigezo watakachokitumia kumkataa Makonda ndicho kitakachokuja kutumika kumkataa mtu mnayemtaka na hapo ndipo kitachimbika.
Wakati mwingine ni bora kuweka hisia pembeni na kufuata sheria na kanuni...