CHADEMA mpaka huku??

Edwin Chapa

Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
54
Reaction score
12
Wadau mi nipo huku Morogoro,Wilaya ya Morogoro Kusini,Kata ya Mtombozi,Tarafa ya Mtombozi,Kijiji cha Nemele,Mwenyekiti wa hiki kijiji ni Mwanachama wa Chadema na ndo wanaongoza hapa kijijini,tena ni kijana ana umri wa miaka 27 tu..nimeambiwa katika uchaguzi uliopita alishndana na Babu yake Mzaa mama ambaye alikuwa ni CCM
 

mbona hadi ndani ya familia ya Waziri wa ccm chadema imo, sembuse hapo mji kasoro bahari !!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…