Naomba mjibu hoja hizi tafadhali
1.kwanzia mwaka 2008 mpaka 2015 July mlizunguka Tanzania nzima mkimsakama Lowassa kuwa ni fisadi mkubwa Tanzania Tanzania nzima na dunia nzima ikajua hivyo!! CCM ikajivua gamba kwa kumkataa Lowassa asigombee urais kupitia CCM.nyie mliyemtukana Lowassa mkaamua kumchukua na kumfanya mgombea urais kupitia UKAWA !! Je hii siyo siasa chonganishi na hamfai kuongoza nchi??
2.kwa mda mrefu sasa chadema na upinzani kwa ujumla mmekuwa mkisema CCM inalea uovu .madawa ya kilevya ni uovu.MTU ametajwa tu na kesi haijaisha mahakamani mnamshawishi aliyetuhumiwa kwa madawa ya kulevya mnachukuwa na kuweka mwanasheria Mkuu Wa chama kutetea mahakamani!! Je hii siyo siasa chafu na chonganishi ndani ya jamii?
3.tumeona asilimia kubwa ya wanaohama CCM wana makandokando!! Wanapohama CCM mnawachukuwa na kuanza kuwasafisha .Je hii siyo siasa chafu na chonganishi kwa jamii ya kitanzania?Je tukisema chadema kimekuwa kichaka cha maovu tutakuwa tunakosea?
4.kwa mda mrefu mlihubiri mkisema mngependa nchi iongozwe na rais mkali .amekuja rais mkali wala siyo dikteta kama Lissu anavyosema!! Je hii siyo siasa chonganishi ambayo ni hatari kwa taifa letu?