Obamamtoto Senior Member Joined Oct 23, 2012 Posts 130 Reaction score 179 Sep 2, 2016 #21 chadema ilikuwa chadema isiyo na lowassa lakn kwa sasa huyu Mzee anaonekana anatumia busara wakti anachelewesha upatikanaji wa haki hajazoea ugumu na mikikimikiki ya polsi [HASHTAG]#itabdi[/HASHTAG] tuanzishe opereshi ONDOA LOWASSA OKOA CHADEMA
chadema ilikuwa chadema isiyo na lowassa lakn kwa sasa huyu Mzee anaonekana anatumia busara wakti anachelewesha upatikanaji wa haki hajazoea ugumu na mikikimikiki ya polsi [HASHTAG]#itabdi[/HASHTAG] tuanzishe opereshi ONDOA LOWASSA OKOA CHADEMA
Lupyeee JF-Expert Member Joined Jun 28, 2016 Posts 2,683 Reaction score 2,821 Sep 2, 2016 #22 Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa. Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!! Shame on you Chadema
Kelele nyingi kumbe wakwepa kodi wakubwa. Mabadiliko mabadiliko kumbe wao ndio wa kwanza kuwaibia wananchi!!!!! Shame on you Chadema