CHADEMA Mkwawa wajiunga na CHASO

ana akili sana kwani alijua vichaa na wadini ndo watachukua nchi
 
Vijana zingatieni masomo. Msikubali kulaghaiwa na wanasiasa...

kwel mkuu, tumegoma kulaghaiwa na wanasiasa (ccm) na kuungana na wanamabadiliko (cdm). Karibu tuungane pamoja mkuu km ushauri wako ulikuwa wakutoka moyoni.
 
Haki yao ya kwanza ni kutafuta elimu ya chuo kikuu. Hicho ndicho kilichowaweka hapo chuoni. Haya mambo ya kumtafutia Dr. Slaa pesa za kujikopesha wakilifanya muhimu kuliko masomo yao WATAPOTEA na baadae wataishia KUJUTA...
Acha wivu wewe, kama unaumia sana meza wembe basi.

Kwanini umeshindwa kuwaonya wale Mburula wa UVCCM kutoka Jordan University waliopost leo humu kuwa wana kikao kwenye Bar fulani pale Morogoro?
Anza na wale kisha ndio uje humu kupost mashudu.
 
Waache wadanganyike na wachumia tumbo wanaojifanya wanapigania maslah ya watanzania kumbe wanatafuta pesa za kulelea wake wa kuiba.
Mwisho watajuta wakila suplimentaly, na ma discontinuity watatia akili.
 
wamuulize mtela mwampamba, muanzilishi wa hiyo chaso, atawaeleza yaliyomkuta. nyie dandieni tu gari kwa mbele/

ZEmarcopolo bwana....nahisi na huu ndo ukweli UBONGO wako utakua umevia si haba ni zaidi ya kuvia.
 
Mpe mambo,nimeipenda sana.kama wewe ni kijana wa kisasa na msomi usipoipenda CHADEMA basi elimu uliyoipata kamwe aijakukomboa na kamwe haitakukomboa.vijana tunaitaji mabadiliko(political reforms) vijana tubadilike bwana.
 
Punguza uvivu wa kufikiri,niko udsm ninafanya harakati za CDM na maandamano sana,na darasani ninafanya vizuri sana!

Haÿa endelea kuandamana peke yako. Mwenyekiti kashapiga marufuku kuandamana...
 
Kiburi si maungwana

ccm acheni dharau

mbona ccm inahofia maandamano ya chadema ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…