Kuna bonge la mechi leo kati ya Simba na Mtibwa uwanja wa taifa!Lazima mnyama ale miwa leo!Siasa zimepoteza muelekeo lkn majembe endeleeni kupiga makelele yanasaidia sana sie kula nchi!
Ukisikia Paaaaa!!!! Ujue limempata mtu....!!! Pole mkubwa, kwani nyie mmekatazwa kuweka matangazo ya Magamba wenzenu? Kazi kweli mwaka huu, bado M4C haijaanza kazi rasmi kikanda, kote nchini, subirini April, vilio vya ccm vitakuwa kila kona ya nchi. Mtakiona mwaka huu!!!