Bora umesema wewe. Hawa watu hawapendi kabisa kuambiwa. Sasa hivi watasema umetumwa. Ngoja uone!
MIMI NI MTU HURU AMBAYE AKILI YANGU HAIJAGHOSHIWA NA ITIKADI YA CHAMA CHOCHOTE. NI MTANZANIA MWENYE MAPENZI NA TANZANIA.
CHADEMA wakati mnahangaika namna gani ya kulizima jambo la video ya lwakatare wao CCM wanapanga mikakati ya kuwaingiza watu wao katika mabaraza ya wawakilishi wa mchakato wa katiba mpya kwenda kupeleka hoja za CCM. nyie CDM mnahangaika na Mwigulu nchemba na Lwakatare. hii ndo siasa.
kama hamtaki kukubali ulizeni wagombea waliogombea nafasi hzio ambao hawakuwa CCM namna walivyoshindwa si kwa hoja bali vioja. nyie mmepewa TOY mchezee wao wameshasonga mbele wakiendelea na mikakati yao. mkija kushtuka mmmeachwa nyuma sana. hii ndiyo siasa.
Wafuasi wa CHADEMA itakua ni chanzo cha kutotawalika baada ya uchaguzi mkuu hujao.
Maana wana matumaini makubwa sana kwamba watashika dola uchaguzi mkuu ujao,hizi ni sawa na ndoto za saa7 mchana,sasa kwa akili hizi za kushikiwa nadhani nchi haitatawalika kabisaaaaaa!
Ewe muumba wa mbingu na ardhi niepushe mimi na watanzania wenzangu kwa hili sekeseke ili yasijetukuta yale ya 'kimbali'

siku hizi hata karatu inaitwa nchi? maana huko ndo wanakoweza kushinda ubunge. au siku hizi hata jimbo la ubunge ni nchi?Wafuasi wa CHADEMA itakua ni chanzo cha kutotawalika baada ya uchaguzi mkuu hujao.