Wewe siyo mwanademokrasia. Unawapangia wajumbe?Hatutaki kusikia chochote wala fyokofyoko yoyote
lazima niwapangie, wao mamlete tu nyalandu halafu waone kama hata nafasi ya tatu wataipataWewe siyo mwanademokrasia. Unawapangia wajumbe?
Kwa sababu alijeruhiwa basi mnamuhurumia kwamna lazima agombee sio??Mimi kadi sina. Wasipo muweka lissu binafsi sion haja ya kupoteza muda wangu kupiga kura
Mkuu achana nao chadema hao tupigie chauma tuwang'oe ccm.
lazima niwapangie, wao mamlete tu nyalandu halafu waone kama hata nafasi ya tatu wataipata
wewe mimi unanifahamu?Kama Dr Slaa (Rais wa mioyo) alifunguliwa mlango atoke kisa hamtaki Lowasa!
Itakuwa wewe usiyekuwa hata na address?
Nyie subirini mtakayeletewa na vikao halali vya chama,msitishie watu wazima nyau!
mwanachamaKwani wewe ndio nani?
Sisi tunawasikiliza Wajumbe!!mwanachama
tutaonekana wote hatuna akili sasa ni bora wakaonekana wao hawana akiliTupo wengi mkuu. Waache wajichanganye waone