Mmmm, IQ au AH.Nakuona una IQ kubwa sana.
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!
Kuwa na subra Mkuu vitafikiwa hivyo vipengele ktk rasimu, moto wake utauona.Kitaeleweka tuuCHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!
Mchawi wa chadema ni Dr slaa,Mbowe na Lema
CHADEMA msitafute Mchawi, Mchawi wenu ni IQ ndogo ya Wanachama wenu, nitawapa Mfano, Sasa kuna mchakato wa kuandika Katiba Mpya, ktk hali ya kawaida nilitegemea nguvu zote za Wanachadema na Wapinzani kwa Ujumla zielekee kwenye kuboresha Mazingira ya wao kuweza kuwa na Usawa na Chama tawala pindi uchaguzi utakapokuja, lkn wapi woote wamegeukia kudai jina la Tanganyika, kana kwamba wakilipata kesho basi Daftari la Wapiga kura nalo litajiboresha na kuacha madai ya Msingi ambayo ndio yanawakosesha ushindi kwa mfano Mwenyekiti wa Tume kuteuliwa na Raisi, Madaraka makubwa ya Raisi pmj na Watu wake kama Wakuu wa Mikoa, Wilaya n.k, hapo hapo wakishindwa Uchaguzi wanaanza kulalamikia kwamba sijui Daftari la Wapiga kura halikuboreshwa, sijui Vijana wengi wamekatwa kwa makusudi, na haya Mambo yoote yamo kwenye Rasimu lkn sijasikia hili wala fyoko, nasikia tuu tunataka Jina la Tanganyika...Hivyo wakulaumu hapo ni IQ ndogo ya Wanachama wenu!
Ina maana kama hayo masuala hayajafikiwa kujadili waanze kusema yarekebishwe,Wakati Bunge hili ni Maalum kwa ajili ya Katiba.
Watakwenda kifungu kwa kifungu,Hatua kwa hatua.Hivyo huna shule ya kusema Chadema wana IQ ndogo.
Kama wana iq ndogo kule Bungeni walifikaje?
Ficha Upumbavu wako.
Tangu asubuhi alikuwa hajatupia post na masharti ya lumumba hupati buku 7 bila kuonyesha post hapa jf, umasikini na njaa ni kitu kibaya.yeye kaiona cdm tu wakati vyama vya upinzani vipo tele.
Sasa kwaandiko kama hili mwenye IQ ndogo ni wewe au hao WANACHADEMA?
Kama hata hauijui kuwa katiba ina vipengere vingi na vyote vinatakiwa kujadiliwa unajielewa kweli?
Au ulitarajia mambo yote yajadiliwe leo? Au waruke vipengere vingine sio?
Kabla haujakosoa watu unapaswa kuliangalia marambili hilo wazo lako na sio kukutupuka kupost tu!
hawa makamanda wanakunyima usingizi we pimbi