leo hii tar 15. 07. 2012 kumefanyika chaguzi za serikali za mitaa hapa jiji Mbeya ili kuziba nafasi za wenyeviti na wajumbe walio hamia CHADEMA / Kufariki dunia
jumla kulikuwa na chaguzi 7 serikali za mitaa katika hiyo CHADEMA imechukua 6 na CCM moja (1) tu
mojawapo ni
ILEMI - CHADEMA pamoja na mjumbe nafasi moja
ILOLO - CCM
MWANJELWA MTAA WA BANK - CHADEMA
MWANSEKWA- CHADEMA
SINDE - CHADEM
MWANSANGA - CHADEMA
KAGERA - CHADEMA (mjumbe wa serikali ya mtaa)
furaha yanu kubwa uongozi wangu wote ni CHADEMA kuanzia m/kiti, Diwani, hadi mbunge " so I 'm very happy now "