Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
Mkuu don't tell me! Waaaaaaaaaaaau!
Nisalimieni Shitambala.
mkuu hata mimi nashangaa mfano hii ya Ilolo ipo mjini kabisa sijui walikula nini ? na hii kata ilikuwa chini m/kiti wa ccm ambaye alifukuzwa baada ya kuchomewa nyumba na wananchi kwa tuhuma za uchawihizo mbili imekuwaje?
Gud niuzi,! Naomba ndovu moto tasavali