fenestra rotunda
JF-Expert Member
- Jun 18, 2015
- 608
- 614
Hakuna cha aibu mahali unapofanyiwa unyama, ni wajibu wa kuchukua hatua. Ofisi za Tume na mabox yake zikichomwa moto ni lawama kwao wenyewe sio wananchiisije ikawa wametangaziwa vituo tofauti na wao wakaacha kujiongeza! Aibu itaanzia hapa wana CDM
Acha ushamba wewe home boy ,daily naona unaandika ujinga ujinga wako humu,Hakuna cha aibu mahali unapofanyiwa unyama, ni wajibu wa kuchukua hatua.
Ofisi za Tume na mabox yake zikichomwa moto ni lawama kwao wenyewe sio wananchi
Mawakala wa Chadema hawana hata nauli, mkuu alitafuna pesa za kampeni na michango ya wabunge. Chama kina hali mbaya sama.Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi...
Good. Wa ccm wako tarafani wa CHADEMA wanashangaa kataniisije ikawa wametangaziwa vituo tofauti na wao wakaacha kujiongeza! Aibu itaanzia hapa wana CDM
Mawakala wote walijulishwa tangu Jana sehemu za kwenda kuapishwa.Kwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi...
Shida ya wahudumu wa ofisi za ccm wakipata bundle ni tatizo.Ficha upumbavu wako si Mmekalia Jf kutukana na Ukibendera
Nyie Mkipata 20% Mjipongeze ma Faru john
POOR OGANIZESHENI NA DHARAU DHARAU NI KITU MBAYA SANAKwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi.
Ikumbukwe jana nilionya kuhusu maandalizi yenu ifikapo leo ila sikupata majibu ya kuridhisha toka kwa wadau.
Mawakala wa CHADEMA walioko humu mnaweza tupa updates ya kinachojiri huko maana kama mko serious basi muda huu mngepaswa kuwa sehemu husika mapema kabisa hata kama mtaapa hiyo saa tano asubuhi.
Kulalamika na kulia hakutasaidia kitu, dawa ni kuanza kushughulika mapema ili hao waapishaji wakose ajenda ya kuwafanyia figisu.
Tuta kuja kesho leo foreni...hahahKwa habari zinavyomiminika maeneo mbali mbali mda huu ni kama vile mawakala wa CCM wameshawahi sehemu husika kusubiri kiapo ila nyie mnasubiri ile saa tano asubuhi ya Na inaonekana kuna mkanganyiko kuhusu mahala sahihi pa kuapishwa kwani wengine wanasema ni katani na wengine kwa kurugenzi.
Ikumbukwe jana nilionya kuhusu maandalizi yenu ifikapo leo ila sikupata majibu ya kuridhisha toka kwa wadau.
Mawakala wa CHADEMA walioko humu mnaweza tupa updates ya kinachojiri huko maana kama mko serious basi muda huu mngepaswa kuwa sehemu husika mapema kabisa hata kama mtaapa hiyo saa tano asubuhi.
Kulalamika na kulia hakutasaidia kitu, dawa ni kuanza kushughulika mapema ili hao waapishaji wakose ajenda ya kuwafanyia figisu.