Chadema ni genge la wahuniWadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza.Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
ccm ni mashoga na mafisadi kama alivyosema masaburi na mpina.Chadema ni genge la wahuni
USSR
Huwezi kuitofautisha CCM na SHETANIChadema ni genge la wahuni
USSR
Wenzako kelele za katiba mpya ilikuwa ni ulaji tu,wanalamba kwa sasa,usiwategemee hata kidogoWadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
Chadema ni genge la wahuni
USSR
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
Wewe uliona wapi Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kinadai katiba kivyake na Mbowe anadai kivyake na Wote wako chini ya Mwenyekiti wa CCM πππ
Mna hasira na CHADEMA Kama vile ni chama tawala, maana hamna imani na CCM Bali mnaitegemea CHADEMA.Chadema ni genge la wahuni wenye njaa
CDM endeleeni na haya maridhiano, hawa watanzania si wa kuamini hata kidogo - baada ya uchaguzi viongozi waliitisha maandamano kupinga dhuruma ya wazi kabisa ya CCM lakini watu wakaishia chini ya vitanda vyao, matokeo yake viongozi wachache wa juu wa CDM na baadhi ya wafuasi wakapata mateso makubwa.
The good thing is, we will all suffer kama katiba itacheleweshwa lakini kifupi watanzania siyo supportive, ushauri CDM endeleeni na maridhiano.
Wenzako kelele za katiba mpya ilikuwa ni ulaji tu,wanalamba kwa sasa,usiwategemee hata kidogo