CHADEMA- maliza mgogoro kwa busara

CHADEMA- maliza mgogoro kwa busara

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,361
Reaction score
6,441
Mbowe, Slaa, Zito, Mnyika, Lisu na wote katika top management, maliza mgogoro unaofukuta kwa busara. Wacha kuwapa faida CCM, mtachekwa sana na safari ya kuibadilisha Tanzania itaishia hapa kama CDM ikifa. Mtakuwa na deni kubwa kwa watanzania na wapenda mabadiliko.
 
Amini ndugu yangu na kwambia kwa roho safi kabisa kuwa ndani ya chadema hakuna mgogoro bali mgogoro uko ndani ya ccm na si mda mrefu utausikia
 
juzi tu jamaa kazuiwa asifanye press conference!! time will tell...
 
Busara ni vyema ikachukua mkondo wake pindi migogoro inapotokea. Hakuna haja ya mabavu na visasi. Kwanza kabisa taarifa zote muhimu zikusanywe ili kutoa maamuzi sahihi na stahiki
 
mkuu una point lakini ilishagundulika hii ripot ni ya UWT wanatuchezesha ngoma ambayo hatuijui. Sasa watacheza wenyewe ngoma imebuma
 
Mgogoro upi huo mkuu? chadema Hamna mgogoro wowote.

Naipenda chadema, ndio maana nimeandika. Nasoma kwenye magazeti, mitandao ya kijamii etc, sidhani kama wote wanadanganya! Let us be realistic wapendwa.
 
Mgogoro haupo kivile magamba wanavyotaka kuwaaminisha wale wavivu wa kufikiri.hata hivyo ni lazma mamlaka husika imtazame zzk kwa jicho la tatu,lisemwalo lipo na kuna elementi za usaliti kwa huyo kijana.na wakigundua kweli anaendelea kusaliti chama nashauri afukuzwe mara moja akamtumikie ibilisi akiwa nje ya chadema.wanachama wa cdm tulioko mikoani tupo imara chukueni hatua kali kwa wasaliti wote na liwe fundisho.
 
viongozi wasio na busara hawawezi kumaliza mgogoro kwa busara hata siku moja.
 
Back
Top Bottom