CHADEMA Mabibo imesambaratika

CHADEMA Mabibo imesambaratika

Joined
Nov 13, 2013
Posts
35
Reaction score
27
Tawi la CHADEMA Mabibo limengia kwenye mgogoro mkubwa sana baada ya kutokea pande mbili moja ikiwa ianongozwa na mwenyekiti wa tawi ambayo inataka uwazi wa matumizi ya pesa na upande wa pili unaongozwa katibu na mzee moja Kigoma na mweka hazina.

Kisa cha mgogoro ni pesa zilizokuwa za uchaguzi wa serikali ya mitaa na kutokea pande mbili hizi moja kumunga mkono Mbowe na nyingine Zitto.

Wanashutumiana kuwa kuna pesa zimetoka head office kuja kutumika kuwa maliza wafuasi wa Zitto Kabwe.

Chanzo cha habari ni ofisi ya tawi mabibo mwisho standi ya daladala ofisi ya tawi ipo kwenye kijiwe cha kahawa hapo ndipo shughuli zote hufanyika zaa chama.
 
mbona hao wengne hujawataja makabira yao ila umentaja wa kigoma tu?
 
Kauze unga, propaganda hizi zimepitwa na wakati. Kila mkilala, mkiamka majungu ya udini, ukabila, ukanda nyie masisiem vipi? Kama vipi mchukue huyo mzee awe baba yako!
 
Back
Top Bottom