CHADEMA Ludewa miguu juu

Filikunjombe angetulia sasa maana kama umewafanyia kazi wana Ludewa watakupa kura bila shaka. ..

Naanza kupata mashaka na uhalisia wa maendeleo uliyoonyesha ITV ...mlianza na pingamizi na kujitangazia kupita bila kupingwa lakini NEC imemrejesha mpinzani wako.

Hivi kwa yale umeonyesha ITV utapaje wasi wasi wa kuchaguliwa tena? ?
 
Lowassa Kwisha habari yake.
 
CHADEMA kwisha kabisa sasa hivi ni CCM ya Magufuli
 
Hivi mnakumbuka kutenga muda wa kuwaza maendeleo yenu? Naona yaliyopita kwa wengi yanaendelea kuwa ndwele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…