Vox Populi Vox Dei
Member
- Jun 30, 2013
- 21
- 14
Naunga mkono hoja
wazo hili lina afya sana kwa chama, tatizo ni kwamba mwenyekt anatafuna ruzuku za chama (ambazo kimsingi ndo zingewalipa hawa watumishi wa chama) na yeyote anayehoji anaitwa msaliti mfano wa kwanza ni chacha wangwe (rip) na sasa akina zito.............
anayepinga asome nyaraka zote mbili, ya marehemu wangwe kisha ya akina zito.
tatizo ni mahaba ya ajabu dhidi ya mbowe kutoka kwa wafuasi wake na kwa staili hii mabadiliko tuyatakayo itakuwa ni ndoto za mchana tu!!!
CCM wanalipwa shilingi ngapi kwa mwezi ukichukulia ni chama tajiri,kinatumia rasilimali za watnzania zilizoibiwa mapema MWAKa 1992, zinazoibiwa sasa toka seriklin au mndhani hatujui kuwa wenyeviti wa halmashauri ni wajumbe wa kamati za siasa za wilaya?
mkuu, mada iliyombele yetu ni namna gani chama kiwalipe watendaji wetu mikoani - mambo ya maccm yanakujaje hapa tena?!
By the way, chadema haipaswi kuendesha shughuli zake kwa kuiangalia ccm yenyewe imefanya nn.
Safi mkuu,jibu zuri sana. tatizo la kutojitambua ndio kama hilo,hoja nyingine unaingiza hoja nyinginemkuu, mada iliyombele yetu ni namna gani chama kiwalipe watendaji wetu mikoani - mambo ya maccm yanakujaje hapa tena?!
by the way, chadema haipaswi kuendesha shughuli zake kwa kuiangalia ccm yenyewe imefanya nn.
umemjibu vizuri sana,
kumbe hawalipi????? Sasa hii ela yote ya ruzuku inaishia wapi??
Nimekusaidia kubold na kuongeza size ili ulisome hilo jina, wilaya hiyo ipo kaskazini na ndipo pesa yoooooote ya chama inapelekwa.Amenijibu vizuri wapi? Hapa mwanga tuna vitongoji viwili tu vya CDM lakn makao makuu ya cdm wanatuma fedha za kulipia pango la ofisi, shajara na posho za viongozi wa wilaya!