red one , tujuze hii habari unaitoa kama ni ulichogundua au ni shutuma....?
Toa upupu wako watu wasio fit ni kina nani hao, toka lini wewe ukawa mratibu wa maandamano ya CDM, labda tuambie leo Nape na Rostam wako wapi tutakuelewa.WanaJF: kiukweli hili linakera sana kwa mh Godbless lema na katibu wa kanda ya dar es salaam mkuu Kilewo kuacha kuendelea na sangara na kurudia mbeya mjini na kuendelea kufanya mambo yao wenyewe wenyewe bila kutaka kushirikisha wenzao, ni siku nzima ya jana lema na kilewo hawajulikani walipo wakati walipo kuwa hapa mbeya walijifanya vinara wa kuongoza maandamano kwa sifa, sasa wao wako wapi? Sehemu walizopagiwa hawapo mpaka chama kimepeleka watu wasiyo fiti sehemu hizo! Tunaomba uwajibishwaji wa hawa mabwana maana hata kwenye kikao jana tuliambiwa wapo kwenye ratiba.
Kamanda hizi ni shutma kwani viongozi wengi wa wilaya za mkoa wa mbeya wanalalama kuhusu hawa mabwana kutoweka bila taarifa na wakati wamekuwa wakitangaza watakuwepo
Mkuu na dhani wewe siyo mwanambeya ungekuwapo mbeya au ungekuwa unakitakia amani chama hiki kinachoenda kuchukua dola usingekurupuka na kunijibu kwa kejeli kiasi hiki mungu akubariki sanaToa upupu wako watu wasio fit ni kina nani hao, toka lini wewe ukawa mratibu wa maandamano ya CDM, labda tuambie leo Nape na Rostam wako wapi tutakuelewa.
WanaJF: kiukweli hili linakera sana kwa mh Godbless lema na katibu wa kanda ya dar es salaam mkuu Kilewo kuacha kuendelea na sangara na kurudia mbeya mjini na kuendelea kufanya mambo yao wenyewe wenyewe bila kutaka kushirikisha wenzao, ni siku nzima ya jana lema na kilewo hawajulikani walipo wakati walipo kuwa hapa mbeya walijifanya vinara wa kuongoza maandamano kwa sifa, sasa wao wako wapi? Sehemu walizopagiwa hawapo mpaka chama kimepeleka watu wasiyo fiti sehemu hizo! Tunaomba uwajibishwaji wa hawa mabwana maana hata kwenye kikao jana tuliambiwa wapo kwenye ratiba.
Toa upupu wako watu wasio fit ni kina nani hao, toka lini wewe ukawa mratibu wa maandamano ya CDM, labda tuambie leo Nape na Rostam wako wapi tutakuelewa.